Kamati Kuu CHADEMA kukutana Dar

Nduguyangu punguza mahaba kwanza ndio umpime mtu,hata mimi nilikuwa mshabiki sana Wa Zitto tena huenda kuliko wewe lakini alivyoanza mamboyake ya hovyo nikamwacha,Mimi ni muha tena Original na kamwe sintomuunga mkono mtu kwa sababu eti tunatoka pamoja isipokuwa kwa kutuweka pamoja Watanzania ambavyo Zitto badala yake anatugawa[/QUOTE]Kamgawa nani? kivipi? kuwa muha mm sikuwa na mahaba na ztt, tuna angalia ukweli wamambo na sikila jukwaa watu washindwe kutoa yamuhim kwa wananch wanakalia zito ztto ndo nn
 
Angekuwepo Zito pale kina TUTEMENKE wangekuwa wanamwaga tu humu siri za vikao tena kwa propaganda kali sana
 
Zitto akigombea Jimbo la watu Makini lazima akose Ubunge kwa sababu hawezi kupenya Nguvu ya UKAWA na CCM.Uchaguzi uliopita alimshida Mgombea wa CCM kwa kura chache sana.Mwaka huu za CCM zipo palepale na za kwake anagawana na UKAWA.
Kwamaelezo hayo! bado sana ndugu
 
Kikao katika picha...
 

Attachments

  • KK 1 0D6A9042 (5).JPG
    1.1 MB · Views: 348
  • KK 1 0D6A9042 (6).JPG
    425.9 KB · Views: 665
  • KK 1 0D6A9042 (7).JPG
    1,005.8 KB · Views: 68
  • KK 1 0D6A9042 (8).JPG
    1.3 MB · Views: 241
  • KK 1 0D6A9042 (9).JPG
    1.2 MB · Views: 390
Tunasubiri press release


Karibu Bulldog. Bila shaka.

Wananchi watapata habari ya maamuzi ya Kamati Kuu kama ilivyo ada kwa sababu kikao kimefanyika kwa siku mbili kujadili masuala ya nchi yanayowahusu Watanzania.
 
Last edited by a moderator:
 
hizo ndizo vikao mpka mtu unaogopa sio vile vya rumumba unajua tuh wanapanga kuiba kufisadi nchi
 
 
Kikao siku ya pili chini ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara, Prof. Abdalla Jumbe Safari. Meza kuu ikisikiliza kwa makini hoja za wajumbe...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…