Tunasubiri tamko kuhusu uteswaji wa Khalid Kagenzi.
Mlipokuwa mkihoji mikutano ya ACT pesa inatoka wapi zilikuwa zinawahusu?
Wewe endelee imani zako za uchawi sisi tunaendelea kusonga mbele na mipango ya kujiandaa kuingia madarakani mwaka huu.![]()
Hawa walidanganywa na mchawi wao wakiingia ukumbini wabane midomo na watazame kulia.
Kw kwi kwi kwi teh teh teh.
Tunasubiri tamko kuhusu uteswaji wa Khalid Kagenzi.
Sijui ni uvivu wa kusoma au kutokuelewa au upeo mdogo wa kufikiri ndipo vinachangia kuandika vitu ambavyo vipo ndani ya mada kwani hujasoma ajenda za kikao?
Tunasubiri tamko kuhusu uteswaji wa Khalid Kagenzi.
Zizijibiwa mapema sanaKwani mliweza kujibu hizo hoja mpaka leo?
Hapana watamjadili yule Ajuza mwenzioWatamjadili Khalid Kagenzi?
Vipi kwani ulitaka mumeo ndio afanye maamuzi hayo?Kamati kuu ya nini Wakati maamuzi yote hufanywa na Josephine Mushumbusi?
Kwani wewe inabana mpaka sasa hivi? au Uzee umesababisha ikalegea![]()
Hawa walidanganywa na mchawi wao wakiingia ukumbini wabane midomo na watazame kulia.
Kw kwi kwi kwi teh teh teh.
Kwani wewe inabana mpaka sasa hivi? au Uzee umesababisha ikalegea
Mama yangu hajaulizia mambo ya kubana kama wewe unayeyaulizia hapa wakati unajijua wewe ni mlegezoUngemuuliza mama'ko nadhani ungepata jibu maridhawa kabisa, au yeye hana?
Ungemuuliza mama'ko nadhani ungepata jibu maridhawa kabisa, au yeye hana?
Tunasubiri tamko kuhusu uteswaji wa Khalid Kagenzi.
yani cdm imetoa ajira kwa huyu muislam lakini bado ananyea kambi. nyie watu mmelogwa?
Haikutowa ajira kama msaada, imetowa ajira kwa ujuzi wake. Uislam wake unahusu nini hapa? au kwa kuwa anaitwa Khalid tu?
Jee, kuchukuwa hatua za kumhukumu na kumtesa nayo ni katika majukumu ya chadema? na hilo wana chadema hamtaki kujuwa ukweli wake? hamtaki kamati kuu iwaeleze kama hilo lilifanyika ni jukumu la chadema?
Ikiwa makao makuu ya chadema leo, kama chama tu, kinatesa wafanyakazi wanaotakiwa "wamalizane" na Josefina na Katibu Mkuu, halafu bado mnatetea huo uozo?
Mnanishangaza sana na mtaendelea kunishangaza kama hilo halijaongelewa na kamati kuu.
Kamati kuu pamoja na mambo mengine ya msingi, inaongelea pia huu mchakato wa ccm wa kutaka kumwongezea Kikwete muda kisa tu ccm wanahofia hawajajipanga kukabiliana na UKAWAHaikutowa ajira kama msaada, imetowa ajira kwa ujuzi wake. Uislam wake unahusu nini hapa? au kwa kuwa anaitwa Khalid tu?