Kamati Kuu CHADEMA kukutana Dar

Kila La Kheri Makamanda, nasi huku vijijini tunazidi kukiuza chama kwa wapga kura, waalahi mwaka huu FISIccm hawana chao
Tutaungana nanyi hivi karibuni tena huko vijijini. Asante sana

Chademakwanza
 

NAKUJIBU:

Acha fikra MGANDO, siasa ni Dynamic na ni Game of Opportunity unatupa karata kulingana na mchezo.

Waulize CCM, Mahama ya KADHI iko wapi?
Walitumia karata hiyo 2005, leo ni miaka 10, na jamaa huyoooo!

Changanya maswali yako yote kwenye hili jibu, halafu kajiunge ACT usiende CDM.
 
Nisome tena nimeuliza:

By FaizaFoxy

Watamjadili Khalid Kagenzi?

Dada ugumba umeutaka mwenyewe, acha ngono ya mdomo, anal na kifo cha mende haitasaidia. Mimba utapata by deep penetration of the penis to the virginal na hiyo ni kwa kuinama then uume uingie alafu sperms ziingie ukeni na sio mdomoni kama unavyofanya siku zote hapo mimba utapata. Nakushauri baada ya kupata mimba hudhuria clinic upate chanjo zote kama tulivyoweka kwenye muongozo wa wizara ya Afya. By MD wa ukweli.
 

He he he he he
 
Ndugu mambo gani aliyo yafanya zitto? hamja wai mtimua kafulila, hamjawai msema vibaya mbatia? hamjawai ikashfu cuf? leo yako wapi? tatizo lazito ni mbowe na si cdm hilo kubari


Mbowe amuonee wivu Zitto???,kwalipi?,sisi tulioko Kigoma tunamfahamu Zitto vizuri tangu alivyoletwa na Mbowe kuja kugombea ubunge akimtoa Ujerumani,alimpa kila kitu sawa na mwanamke unayempa kila kitu lakini hatosheki,alimpa mpaka gari bure na hakumludishia mpaka leo.Zitto ameshakwambia kama alimludishia hilo gari?.Zitto hafai na hata Cdm tuliwatahadharisha tangu mwanzo na sasa wamejionea wenyewe.Wewe ndie haumfahamu huyo dogo kwa sababu umeamua tu kutomfahamu kwa mahaba yako kwake,nadhani wewe ndie mchepuko wake au?
 

Asante sana
 
..."a man whose natural gifts promise to be make him a perfect guardian of the state,will be philosophical,high spirited,swift - footed and strong....Plato 354-434BC



 
Lazima mutumie thread zinazohusu chadema kumpromote maiti wa kisiasa duh anauzwa lakini hauziki Tanzania nzima na dunia nzima wamjua msaliti mroho wa madaraka mla rushwa
Aa! simbaya kumuita maiti mtu alie hai kwa fikrazako japo sivyema kwa ubinadam wa kawaida, Penye ukweli hapasimamiwi na mtu mmoja kama imepangwa ukweli, uwazi pia uzalendo kuenezwa si ztt pekee atakae ueneza yeye atakua mwanzirish wapo watakao fuata
 
Nivizuri wewe kunitukana japo sivyema kunitukana, nachokueleza mm mwenyewe nimzaliwa wa kigoma, ujiji mnaz mmoja, nikiwa shule NYARUBANDA shonge, Nimemfaham zitto tangu hajawa mgombea dhid ya KAHENA, Sinashaka na kusaidiwa na mtu kwan nikawaida ktk mafanikio huwezi kuyapata bila kupitia kwa mtu bak, mada ipo ktk utatuzi wa mgogoro unao pelekea kila siku majukwaani hakun lamaana zaid ya chuki na ztt, ww umekuja kunitukana ila mm kutukana mwiko.
 
Watamjadili Khalid Kagenzi?

Kama ungekuwa unafahamu KUSOMA usingeuliza swali la kijinga kama hili!

Agenda za mkutano zimewekwa hapo juu, how on earth you can ask this stupid question?
 
Nchi hii haiwezi kuendeshwa na SACCOS ya MTEI!! NEVER EVER!!
 
Aa! simbaya kumuita maiti mtu alie hai kwa fikrazako japo sivyema kwa ubinadam wa kawaida, Penye ukweli hapasimamiwi na mtu mmoja kama imepangwa ukweli, uwazi pia uzalendo kuenezwa si ztt pekee atakae ueneza yeye atakua mwanzirish wapo watakao fuata

Hivi wewe unajua maana yanmisemo katika lugha kweli?

Mtu anaposema a walking dead man, wewe kwa akili yako unatafasiri kwamba ni maiti anayetembea?!

Kweli hizi Div 5 ni sheeeedaaaaa
 
Hivi wewe unajua maana yanmisemo katika lugha kweli?Mtu anaposema a walking dead man, wewe kwa akili yako unatafasiri kwamba ni maiti anayetembea?!Kweli hizi Div 5 ni sheeeedaaaaa
Kawaida sitatizo hakuna 5 bila 1 mm Div 5 wewe Div 1 haina shida tukiwa wote 1 hatuta heshimiana, kunalugha zakutumiwa na zisizo pendezwa kutumiwa, kifupi nikuache wewe si level yangu mm DV5 siwezi jadiriana na wa DV1, Sikunjema amani iwejuuyako
 
Vipi kuhusu kagenzi na zitto chadema watamjadili tena na kumwazimia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…