Kamati kuu CCM yaja na matamko ya dharau

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,893
Reaction score
36,392
Hawa watu wametuzoea Watanganyika yaani hawajutii Kwa mauaji waliofanya

Wanashindwa kutoa hata kutoa pole
1762364742579.jpg
 
Majizi ya Ccm na Nyie Nyumbu mnaondamana kufanya uhalifu hamna hata mmoja mwenye hafadhali kati yenu

Nyumbu wewe
 
Wewe unatakiwa kutembelewa kwenye awamu ijayo ili akili zikurudie.
Post za namna hiyo zenye kashfa, dhihaka.....juu ya kinachoendelea nchini hata sisi tunaziona sana humu, lakini tunaamua kuwalia buyu tu.

Hicho ulichokifanya wewe na mtoa mada mmeingia kwenye mtego wake maana ndio matarajio yake yalivyokuwa wakati ana type hiyo comment.

So huyo ni wa kumpuuza tu

Watu wajinga kama hao wanatafuta tu attention ya kutaka muanze kuingia kwenye mjadala wa matusi (kwasababu ndiko anakowapeleka)

Wapo wachache sana humu wa aina hiyo na wanafahamika kwa ID's zao.

Tukiweka unity kuamua kuwalia buyu tukasema tusi reply shit zao na hata wakija na threads za uchokozi za ku catch attention za watu ziwe na zero reply yani tusishiriki kwenye hiyo mijadala kabisa, nadhani hapo watakosa nguvu ya kuendelea kupost huu ujinga wao.

Natamani wote mngekuwa mna roho ya kikauzu kama yangu, hawa wote wasingeona JF ni platform ya kueneza uchawa wao.
 
Noted
 
Itoshe kusema kwamba ccm haina tofauti na Hamas, tofauti yao ni majina na langi tu mbwaaa kabisa.
 
Majizi ya Ccm na Nyie Nyumbu mnaondamana kufanya uhalifu hamna hata mmoja mwenye hafadhali kati yenu

Nyumbu wewe
umeanza lini kuiita ccm majizi? Umejivua ukada wake?
 
Back
Top Bottom