miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,106
ha ha hahahaYa barabarani ile ina staha, sio kama zile za miduara banah eh na taalabu za kina mzee Yusufu vibinti vinatingisha kitako kimoja kinatingishwa tafikiri robot
ha ha hahahaYa barabarani ile ina staha, sio kama zile za miduara banah eh na taalabu za kina mzee Yusufu vibinti vinatingisha kitako kimoja kinatingishwa tafikiri robot
tupe mfano.mimi nilitaka kuona wakiakamta lweli chini huku makalio yakiwa juu yanatikiswa kwa sana ... mmmh nilitamani iwe hivyo
kama hivi ila kiuno chenyewe kimeanzia kifuani akitikisiki ipasavyotupe mfano.
ahahaha yani akili yako wwkama hivi iala kiuno chenyewe kimeanzia kifuani akitikisiki ipasavyo
haha haahahaha yani akili yako ww
Hiyo video iko kichwani kwangu!nipe link nikaione mkuu
Tatizo kuna watu wanajiita nao ni professionals, VIDEO QUEENS, kina Giddy Money!Hiyo video dancers wangetoka manzese au mbagala ungeona mambo yake
ha hahah kumbe ipo kichwani kama ya kwangu ipo kichwani halafu mimi nimemuweka na nick minaji we acaha kabisa mimi na bonge la video yaniHiyo video iko kichwani kwangu!
Haaaahaaaaahaaaaaaaaa!
Basata hawachelewi kupiga ban.