Kamarade Mkili Gervas ametutoka

Status
Not open for further replies.
R.I.P Mkili, you really left your mark in this country and you will be missed so much.
 
alikuwa kiongozi wetu mahiri sana wakati wa chuo...alisota mahabusu sana na mwenzio Dr. Deo kwa kupigania haki zetu....poleni sana wafiwa!!!

da Mungu alaze pema roho ya maremu Mkili, nakumbuka siku alipoachiwa toka jela, tulivyokusanyika Nkuruma siku nzima tukimsubiri.
 
juzi juzi ilikuwa siku ya mashujaaa...tukiwakumbuka mashujaa wetu wa zamani wa vita mbalimbali.....nimekaa chini nikikumbuka juu yamashujaa wa tz ghafla namkumbuka MKILI...mara ya mwisho nilikutana nawe pale Bamaga kwenye pub, ukanipa lunch..ukinieleza jinsi unavyosikitishwa na mwenendo mzima wa serikali ya awamu ya nne....nikakuhoji ni lini utaongeza nguvu ya wapiganaji bungeni..ukaniambia 2015..

MKILI ulikuwa na expectation nyingi na nzuri juu ya taifa lako la tanzania lakini haikuwa bahati ya watanzania...ukanieleza pia kwamba una expect mtoto wa pili JULY mwaka huo 2009...ooh ulirudia rudia sana kauli hii kwa furaha...MKILI hukupata nafasi ya kumlea mtoto huyo....
ndoto zoote tulizoongea siku ile ziliishia September 6th ulipotutoka ghafla ....

Kwa heri MKILI sitakusahau nuru/tumaini la watanzania liliyopotea....nitaendelea kukuenzi kama shujaa ......

mix with yours
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom