Hivi sasa mwili wa marehemu unaagwa nyumbani kwake halafu utapelekwa Green Acres Secondary ambako alikuwa Mkuu wa Shule kwa ajili ya wanafunzi na wengi kutoa heshima zao za mwisho kabla ya kuanza safari ya kahama....
omarilyas
ndo huyohuyo unaemjua wewe...kama uamini nenda nyumbani kwake kaulize ...."jina la mke wa marehem Mkili ni nani..? "R.I.P Mkili Gervas. Nisaidieni jina la mke wake maana nachanganyikiwa kama ni yule ninayemfahamu au laa!!
Jamani poleni wafiwa wote na watanzania wote kwa ujumla, hasa wale tuliokuwa tunatimuliwa pale UDSM kwa sababu ya kudai haki, tukiongozwa na Mkilli. Mungu tunakuomba umwadhibu John Kusaja kwa usaliti alioufanya.