peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 17,423
- 29,541
Mungu ametupa kidogo, atupe na RPC wa Arusha,Mwanza,Mbeya, na Muliro!
Akitupa IGP, atakuwa, ametuzidishia upendo !
Akitupa IGP, atakuwa, ametuzidishia upendo !
Singida hapakuwa na maandamano.October 29 singida waliondoka ndugu zetu wangapi?
Mh mshana Jr Nini hiki Tena ?
Wasiposti Facebook kule watu hawana akili.
Hivi yule aliyesema kifo ni kifo baada ya kutekwa na kuuwawa kwa Ally Kibao ana roho nzuri sana?Acha Roho mbaya haikusaidiii kitu