Kamanda wa Polisi Arusha kanisikitisha

Mkuu risasi zinaua. Jambazi mmoja aliyejitoa mhanga ana nguvu zaidi ya polisi 100 ambao wameaga familia zao kwenda kazini na wakitegemewa kurudi kwenye familia zao wakiwa wazima. Wanastahili pongezi kubwa, hata jambazi akiwa mmoja.
Umeongea point kubwa sana mkuu
 
Huyu kamanda namfahamu tangu akiwa OC-CID Dom in MC mzuri sana kwenye shughuri mbalimbali, ana mbwembwe sana.
 
Katika taarifa ya habari ITV ya sa2 ,nmekutana na habari kwamba kikosi cha polisi kimepambana na majambazi piga nikupige kwa dakika 70 yani lisaa limona na dakika 10.kazi nzuri

Kilichonisikitisha ni kamanda kuongea kwa mbwembwe na kujitapa sana kuwa ile piga nikupige,nikupige piga kwa dakika 70.

Cha ajabu jambazi mwenyewe ni mmoja na amekamatwa na silaha moja na risasi 26 tu.yani muda wote huo kumbe kamtu kalikua kamoja tu halafu kamanda anatamba
Majambazi wawili wametumia dakika 70, je wangekua majambazi 10 si mpaka leo mchana ndio piga nikupige, pokea nikate ndio ingeisha....
 
Komando kipensi alikalisha kikosi kizima cha jeshi, au Rambo Bloodsport 1 porini alisumbua zaidi ya mwezi kuanzia jeshi hadi polisi. Japo ni sanaa ila huwa zinauhalisia.

Yule mzee hajasema kama kile kikosi chote kimetoka kupambana na adui hao usimsingizie mkuu.
babu umefanya nicheke sana.... naikumbuka ile movie ya komando kipensi na ile mikuki ya porini na mitego
 
Ni kweli polisi wamefanya kazi nzuri ya kupambana na waharifu wenye siraha,ila kamanda wa polisi aliyeripoti taarifa hiyo kazidi mbwembwe mpaka mm binafsi nilikereka kwa namna avyoongea
 
Unachoshangaa ninini mkuu hivi unajua kupambana na adui mwenye siraha ya moto INA itaji timing sana au unataka askari wetu wangekua wanasonga mbele kama ASKARI WA VIETNAM. ? kumbuka hiyo ilikua ni vita na sio ngonjera wewe hapo ulipo ukisikia mlio wa risasi tu unatoka mbio we unafikiri hao askari hawaogopi kufa ?
Katika taarifa ya habari ITV ya sa2 ,nmekutana na habari kwamba kikosi cha polisi kimepambana na majambazi piga nikupige kwa dakika 70 yani lisaa limona na dakika 10.kazi nzuri

Kilichonisikitisha ni kamanda kuongea kwa mbwembwe na kujitapa sana kuwa ile piga nikupige,nikupige piga kwa dakika 70.

Cha ajabu jambazi mwenyewe ni mmoja na amekamatwa na silaha moja na risasi 26 tu.yani muda wote huo kumbe kamtu kalikua kamoja tu halafu kamanda anatamba
 
Hawaijui vita hao mkuu wanaongea tu na kuwabeza police wakumbushe na methali hii inayosema njiti MOJA ya kibiriti inaweza kuteketeza msitu
Komando kipensi alikalisha kikosi kizima cha jeshi, au Rambo Bloodsport 1 porini alisumbua zaidi ya mwezi kuanzia jeshi hadi polisi. Japo ni sanaa ila huwa zinauhalisia.

Yule mzee hajasema kama kile kikosi chote kimetoka kupambana na adui hao usimsingizie mkuu.
 
Katika taarifa ya habari ITV ya sa2 ,nmekutana na habari kwamba kikosi cha polisi kimepambana na majambazi piga nikupige kwa dakika 70 yani lisaa limona na dakika 10.kazi nzuri

Kilichonisikitisha ni kamanda kuongea kwa mbwembwe na kujitapa sana kuwa ile piga nikupige,nikupige piga kwa dakika 70.

Cha ajabu jambazi mwenyewe ni mmoja na amekamatwa na silaha moja na risasi 26 tu.yani muda wote huo kumbe kamtu kalikua kamoja tu halafu kamanda anatamba
Anaweza akawa adui ni mmoja sawa ila akawa ana mbinu nyingi za kupambana na siraha nzito au akawa na mafunzo hayo ya kijeshi katika kutumia vema siraha usimdharau adui yako na kumuona mwepesi mkuu adui mmoja anaweza kumaliza kikosi kizima cha jeshi hii kitu sio ya kubeza mkuu .....kama ni mpenzi wa movie za kivita embu pitia pitia movie za akina Rambo uone namna adui anavyokua na nguvu na maarifa mengi hadi kuzidi jeshi lenye askari zaidi ya 50 na akawateketeza
 
Siwezi beza mkuu lakin kamanda anambwembwe sana.ukimsikia anavyo ongea utajua wamekamata kikosi cha maadui
Anaweza akawa adui ni mmoja sawa ila akawa ana mbinu nyingi za kupambana na siraha nzito au akawa na mafunzo hayo ya kijeshi katika kutumia vema siraha usimdharau adui yako na kumuona mwepesi mkuu adui mmoja anaweza kumaliza kikosi kizima cha jeshi hii kitu sio ya kubeza mkuu .....kama ni mpenzi wa movie za kivita embu pitia pitia movie za akina Rambo uone namna adui anavyokua na nguvu na maarifa mengi hadi kuzidi jeshi lenye askari zaidi ya 50 na akawateketeza
 
Katika taarifa ya habari ITV ya sa2 ,nmekutana na habari kwamba kikosi cha polisi kimepambana na majambazi piga nikupige kwa dakika 70 yani lisaa limona na dakika 10.kazi nzuri

Kilichonisikitisha ni kamanda kuongea kwa mbwembwe na kujitapa sana kuwa ile piga nikupige,nikupige piga kwa dakika 70.

Cha ajabu jambazi mwenyewe ni mmoja na amekamatwa na silaha moja na risasi 26 tu.yani muda wote huo kumbe kamtu kalikua kamoja tu halafu kamanda anatamba
mkuu wangekuwa watano jee si ni siku nzima sasa
 
Back
Top Bottom