Buza Kwa Mpalange
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 268
- 156
Kumbe ndiyo sababu mama Kimbo kajichimbia huko!Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Buza.
Jeshi la polisi ndugu IGP Sirro tafadhali sana tunaomba uboreshe mazingira kwenye kituo cha polisi Buza.
1. Kituo hakina umeme, ikifika saa 11 jioni panakuwa kimyaaaa.
2.Kituo hakina maji, sijui mahabusu wanajisafisha na majani?
3.Mapolisi hawazidi hata 4 hata silaha hawana. Ongeza mapolisi
4.Ikifika jioni saa 12 kamili kituo kinafungwa kabisa, kinafunguliwa asubuhi.
Kwahiyo hata ukipata tatizo usiku huwezi kusaidiwa.
Naomba niishie hapa
Kumbe ndiyo sababu mama Kimbo kajichimbia huko!
Tatizo mnalo nyie wananchi,kwa nn mnapenda mkae kwa Mpalange🙄🙄🙄
Kipi kinachokutisha?..Buza kwa mpalange,panatisha sana ukooo
Uswazi uko juu sana apo,vigodoro vinaharib watoto wetuKipi kinachokutisha?..
Uswazi upo Buza tu?,hebu ukuje nikutembeze uone uzuri wa huku.Uswazi uko juu sana apo,vigodoro vinaharib watoto wetu
Nilidhani mnaomba awapeleke kwa mpalange 😃Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Buza.
Jeshi la polisi ndugu IGP Sirro tafadhali sana tunaomba uboreshe mazingira kwenye kituo cha polisi Buza.
1. Kituo hakina umeme, ikifika saa 11 jioni panakuwa kimyaaaa.
2.Kituo hakina maji, sijui mahabusu wanajisafisha na majani?
3.Mapolisi hawazidi hata 4 hata silaha hawana. Ongeza mapolisi
4.Ikifika jioni saa 12 kamili kituo kinafungwa kabisa, kinafunguliwa asubuhi.
Kwahiyo hata ukipata tatizo usiku huwezi kusaidiwa.
Naomba niishie hapa
Angejua Buza watu wanaishi km ulaya na Airport iko upenuni baaas hawataki tabuKipi kinachokutisha?..
AiseeeeeeAngejua Buza watu wanaishi km ulaya na Airport iko upenuni baaas hawataki tabu