bashite amekimbia nini tz. sirro atakuwa anapumua sasa maana Bashite mgushi vyeti misifuri akikuwa anampelekesha kweliWw muuza ngada vepe..kelele miiingi kama unawasiwasi karipoti police lifunguliwe jalada la uchunguzi
Sirro naye Bashite taipuIkithibika kweli pasipo shaka yoyote , ashughulikiwe kikamilifu. Wote wanaouza madawa ya kulevya wakithibitika washughulikiwe bila huruma japo niko against kutajataja watu hovyo kwenye media bila kuwa na uhakika.
Jux ndie tatizoAkamatwe Jux....
maana mademu zake wote ndio huwa wanakamatwa kama wasambazaji.
Kamuulize sirroNa akikutwa hana hatia je?
Ningetaka kufanya hivyo nisingeuliza hapaKamuulize sirro
Hapa hayo majibu yake hatunaNingetaka kufanya hivyo nisingeuliza hapa
Hii biashara ipo kwenye network.....wanaendelea kuchunguza ili wawatie wengine kambani
Na utakereka sana.Tanzania bila madawa inawezakana
Hapana usiwajumuishe wengine sema wewe huna majibuHapa hayo majibu yake hatuna
Yapo polisi majibu yoteHapana usiwajumuishe wengine sema wewe huna majibu
Kwa ujinga huu sijui tutafika kweli wapi imethibitishwa kuwa huyu dada ni msambazaji au mtumia ngada? Mbona unakuja na conclusion kuwa amesomeshwa ng'ambo na kashindwa kutumia elimu yake na kujiingiza kwenye madawa, do you have any evidence?cash madamee...mziki tu ndo wakukufanya uwe na mihela hivo vee??
binti wazaz wako wamekusomesha kwa gharama marekani umerud bongo na usomi wako umeshindwa kuutumia vema unaamua kuwa punda?
umetaka utajiri wa haraka haya hayo ndo matokeo.