Kamanda Sirro atakuwa bonge la IGP

Kafanya kazi bega kwa bega na Bashite... Hizo ndo fadhila za Baba mtu
 
Daah aisee huyu jamaa hana kabisa Polisi jamii tujiandae kusikia majambazi yanauawa kila kona tanzania. ni mbabe sana aisee
 
Nyota ya KAMANDA Sirro ilionekana tangu zamani,KAMANDA Sirro is real a professional police officer.
 
Hongera Kamanda Sirro, Hongera Mheshimiwa Magufuli kwa kumwona Sirro. Sirro chapa kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom