Kamanda Simon Sirro namkubali!

Kamanda Simon Sirro namkubali!

Nitamkubali Siro pale atakapotuletea "wasiojulikana" waliompiga Lissu risasi za SMG 30 na pistol 8 kwa sababu "wanajulikana " na kutumwa na serikali kwa malipo ya kodi za Watanzania.
 
Sasa mambo ya kumleta mamayo kwenye mjadala una washwawashwa na nini?
Ni kipimo tu cha kiwango unachomkubali kamanda!

Kumbe unamkubali kiutaniutani.

Enewei

Mshauri basi atukamatie wale jamaa wasiojulikana, si unaona ndambi kushney!!
 
Ni kipimo tu cha kiwango unachomkubali kamanda!

Kumbe unamkubali kiutaniutani.

Enewei

Mshauri basi atukamatie wale jamaa wasiojulikana, si unaona ndambi kushney!!
Now yu a toking!
Naamini suala la wasiojulikana linakuwa orchestrated na wanasiasa.
Lingekuwa la kipolisi zamani wangekuwa wameshughulikiwa.
 
Now yu a toking!
Naamini suala la wasiojulikana linakuwa orchestrated na wanasiasa.
Lingekuwa la kipolisi zamani wangekuwa wameshughulikiwa.
Complex equation.
Wanasiasa wametumia wataalam kutekeleza utaalam in a negative and sad way kisha wanawaficha wataalam hao kwenye siasa.
One day watafahamika tu.
 
Back
Top Bottom