McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Wakuu,
Akiwa anaongea leo kwenye Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge Madiwani 2025 Kamanda Muliro amesema kuwa kazi ya Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu na machafuko na sio kusubiri yakishatokea ndio wafanyie kazi
Amesema
"Huwezi ukasubiri tukio likamilike ili niwe na ushahidi wa kwenda kutihibitisha. Jukumu langu kubwa ni kuzuia vitendo vya kuhalifu