Kamanda Msangi kupelekwa jijini Dar?

Habari za ndani ni kwamba baada ya kamanda sirro kuteuliwa igp, kamanda wa polisi mkoa wa mwanza dcp ahmed msangi analetwa dsm kuwa kamanda kanda maalum.hii inatokana na utendaji wake uliotukuka usio na chembe ya mashaka hata kidogo...karibu dar dcp msangi
 
Yule kamanda wa Mwanza huwa ana macho mazuriπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Hivi hana mtoto wa kike nikamtolee posa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…