Bhampupile
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 810
- 637
Kama ni hivyo basi kazi tunayo, wakimaliza suala la taa watabuni kingine, sijui watasema magari yote tufunge tairi nyeupe, aah ni shida.....Mkuu ni maelekezo toka juu ili zipatikane hela za kujenga viwanda,nilivyomuelewa kamanda taa zilizokuja na gari hazina Shida ila zile za kuongeza kwa kununua mtaa wa Lumumba ndo Shida,ila kwa sababu wanaojua wao na maelekezo toka juu zaidi wanafanya kila liwalo wa meet target
Usihofu tukimaliza hili tutaanza na suala la tinted mkuu...Kama ni hivyo basi kazi tunayo, wakimaliza suala la taa watabuni kingine, sijui watasema magari yote tufunge tairi nyeupe, aah ni shida.....
Siyo kosa lako kuhama Dini, ulipaswa kuwa huko uliko enda Muda mrefu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo za RAV4 bila shaka katengeneza Mtume wa UarabuniRAV4 taa zake ni original siyo man made.
Yatakua yale mataa ya kwenye ngao
mkuu mbeya miezi ya sita hata mita mbili huoni. mbuga ya kituro unapaki gari pembeniMwambie atoe bongo hakuna fog
Haki na wajibu kila kitu kimeainishwa humo mkuu...Hivi kwenye Road trafic act hayo mambo yapo? Au unapigwa faini kwa maneno ya mtu alielala akayawaza na kuja kuyaongea?
Haki na wajibu kila kitu kimeainishwa humo mkuu...
Foglights mkuu maelezo ya awali hayakukaa sawaShida hapa ni lugha iliyotumika na sio dhamira. TAA ZILIZOKUJA NA GARI ndio neno linalochanganya watu hapa.
Labda na tuanze na KUJA KUTOKA WAPI? Agizo la Kamanda linalenga kuziacha TAA ZILE ZILIZOWEKWA NA MANUFACTURER TU na si vinginevyo. Gari lako la mtumba kama limetoka Japan au India, na huko lilikokuwa likitumika awali ndiko walikokuwa wameongeza taa zaidi ya zile ambazo manufacturer aliweka...zitoe kabla 30 haijakuhusu.
Taa zote zaidi ya zile alizoweka muundaji wa gari lako zinahusika na zoezi hilo...watch out.
Siyo kosa lako uwezo wako wa kiakili umeishia hapo.Siyo kosa lako kuhama Dini, ulipaswa kuwa huko uliko enda Muda mrefu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo za RAV4 bila shaka katengeneza Mtume wa Uarabuni
Tell them bwana it's naturalRAV4 taa zake ni original siyo man made.
Ningeandika kwa kiswahili hakuna mtu angeshangaa lakini kwa vile ni kimalkia kila mtu anajitahidi kuonesha kuwa ni mzuri kimalkia. Hongera sana mkuuTell them bwana it's natural
Hapana umeandika sawa kabisa na maana inaeleweka it's from born day yani haijaongezwa na watu mtaani hasa wa tz .. me nimekupata kabisa hata me ningeelezea hivyo hivyo kuwa na amaniNingeandika kwa kiswahili hakuna mtu angeshangaa lakini kwa vile ni kimalkia kila mtu anajitahidi kuonesha kuwa ni mzuri kimalkia. Hongera sana mkuu
Mkuu inaoneka walimu wako hawakupata shida sn, kimombo ni kipana sn hasa sisi tulisoma sekondari za kata kuelewa inakuwa ni vigumu sana.Hapana umeandika sawa kabisa na maana inaeleweka it's from born day yani haijaongezwa na watu mtaani hasa wa tz .. me nimekupata kabisa hata me ningeelezea hivyo hivyo kuwa na amani
Kabisa mkuu hawakupata shida kabisa mkuuMkuu inaoneka walimu wako hawakupata shida sn, kimombo ni kipana sn hasa sisi tulisoma sekondari za kata kuelewa inakuwa ni vigumu sana.