Kamanda Mnyika jibu mapigo haya!!

Kamanda Mnyika jibu mapigo haya!!

Yeye anakwambia harudi shule mpaka CCM watoke madarakani.Mimi namwambia 2015 atarudi apende asipende maana ubunge hatakuwa nao
 
Kijipepa kinachofanya utafiti wa ngazi ya kata kuweka kwa great thinkers ni kujitia aibu. Hii ni uthibitisho kuwa Nape elimu yake ni ya kubahatisha sana. Huenda hata hiyo ulifanyiwa na watu kama ile ya Master pale Mzumbe ambayo laki nne zilikutoka.

By the way hujawahi kuingia darasa la A-Level maishani mwako Bw Nape kwa makosa ya ukilaza wako na umeshindwa kuleta ushahidi hapa hata wa kubumba kuthibitisha uongo kwenye CV yako
 
Kwani form six huwa kuna research?


vipi mkuu ,mbona wewe advance ulifanya vizuri tu kabla ya kwenda kupoteza kipaji huko ulaya ya mashariki , , , , mshauri basi kijana mwenzako Nhaum Moses Nhauye alete cheti chake cha EGM A'level Butimba TTC.
 
Kamanda najua yako nzuri kuliko hii lete kamanda wangu....watu wa karibu na kamanda msaidieni kuleta maana najua yuko busy na ukombozi wa Taifa

Mkuu Kageuka,

Namshukuru sana Dkt. Ndalichako kwa kukuumbua siku ile pale alipozungumza na wana habari. Kwamba wewe ndiye kwenye ule mtihani wa Basic Mathematics ulimchora ''Zombi Amesahau Kuvaa Viatu''na kule kwingine ukaandika ile composition ya athari za kushindwa kutunza Environment...vey interesting!
 
Ndio maana viongozi wengi sasa hivi ni maDakta. Dakta Rais J.M. Kikwete, Dakta Shukuru Kawambwa, Dakta Bilali etc. Nadhani kwa speed hii tulitakiwa tuwe na ufaulu mkubwa mashuleni maana vichwa vipo ngazi za juu, lakini sasa hali halisi ummh...
 
Kamanda najua yako nzuri kuliko hii lete kamanda wangu....watu wa karibu na kamanda msaidieni kuleta maana najua yuko busy na ukombozi wa Taifa

Dah ! asante sana sana sana sana sana Kageuka, Mnyika is very busy kwenye ujenzi wa taifa,tar 9 anaadress bonge la mkutano huko london,we endelea kuokota magamba tu
 
Huyu Vuvuzela Nahum Nipe Naye kweli anachekesha.

Yaani Utafiti wa kwenye Kata ndiyo umemfanya apate Diploma ya Sayansi ya Jamii-Kivukoni???Ama kweli CCM ni wachekeshaji kweli kweli. What is the content in that Research? Tunaomba muweke wazi tuone kilichomo ndani.hii yaweza kuwa geresha tu ya ganda la nje kumbe kule ndani kuna uoza mtupu na pengine hata jina la Mwandishi siyo Vuvuzela Naye!!!

Nina mashaka sana kama Nape atakuwa ameandika mwenyewe kama si mambo ya ku-copy/paste! Kwa akili ya Nnape hawezi kufanya research hata ya kijiji achilia ya kaya moja!!!

CCM tuondoleeni upuuzi wenu hapa.
 
attachment.php





Ndo maana vijana wanafeli !!!!

wanaongozwa na feilia!!!
 
Kwa elimu yangu ndogo niliyonayo, Diploma hawaandiki paper( Reasearch), ingekuwa Advanced Diploma hapo sawa ningekubali. Nina kuwa na wasiwasi kwanza kutokana na masomo ya EGM kule alikoyachukulia,naogopa kusema yawezekana hata hilyo research paper ni magumashi kama hiyo form six, miaka yote hata kabla bosi huyu wa Itikadi ya Chama kongwe hajazaliwa chuo cha Butimba hakijawahi kuwa high school! Mi ni mzaliwa wa mji wa Mwanza nazijua shule zote za sekondari mkoani Mwanza. Butima TCC ni chuo cha ualimu,kilianza kama chuo cha kutoa cheti cha awali na leo hii kinatoa diploma. Nahisi huyu bwana alimaliza Nsumba akaingia kuchukua cheti cha ualimu na cheti chake kikafanyiwa UTAFITI na kuwa kamaliza EGM Butimba TTC ili aingie kivukoni kufanya research ya ordinary diploma. Tanzania tutafika.

Diploma wanaandika field report/ project report tu mkuu..... mzimu wa EGM BUTIMBA TTC bado unamtafuna.
 
dont judge a book by its cover
we need to see the content therein
hata hivo hakuna anaebisha nape alisoma kote huko na kujiendeleza zaidi
mnyika hajabisha kama Nape kasoma
ushindani wa kielimu hauna maana kwa sasa tunataka utekelezaji wa ahadi na sera za vyama vyao
 
Mi mbona sioni hiyo research paper yenyewe. Hapo naona ganda ambalo huendwa limendikwa jana na kuwekwa hapa.
 
Mi mbona sioni hiyo research paper yenyewe. Hapo naona ganda ambalo huendwa limendikwa jana na kuwekwa hapa.
Na ganda lenyewe lisome kwa makini kuna kitu utaona kuwa hakuna umakini wowote
 
Jamani naomba msaada hapo juu kuna neno limeandikwa FUFILMENT. Ndio maana yake nini?

Hiyo pekee inaelezea hadhi ya chuo!
Mengine kama ufaulu wa wanaodahiliwa hapo na uelewa wao utapata majibu kwa ku'extrapolate tu!!
 
Back
Top Bottom