Shagiguku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 409
- 138
mbowe ni kweli yupo studio, lakini hana mtu makini wa "kumu-interview" nadhani mnanielewa wadau.
yaani mtu wa kumuintavyuu kwa kuangalia "issues" hayupo hapo studio, huyu sokolo anayemuintavyuu tunamfahamu viuri sana ya kwamba siyo profesheno katika fani ya habari