Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

Wino upo kwenye kucha mkuu.

Hizo ni mbinu za wazungu Tanzania si mnasema ni nchi ya amani Population cotrol ktk ubora wake jiandae kwa cancer ya hiyo rangi unayo iyona hapo kidoleni
 
Wasiosoma physics wataelewaje? Sasa hapa ndiyo umeandika nini? Who is popular as between Lema and you? Bure kabisa. Kauze mashati,fulani,vitambaa na suruali za CCM pale Lumumba

mkuu umaarufu kwa kuleta speech ambazo zinaongeza chuki na visasi katika jamii ni hatari kwa ustawi wa jamii
 
Habari wadau,

Usipokuwa makini,unaweza ukasema Lema ni mwanasiasa mwenye kukurupuka lakini ukweli ni kwamba huyu ni mwanasiasa mwenye uchungu sana na nchii pengine kuliko hata viongozi wake na wanasiasa wengine wa upinzani.

Lema anaonekana kuchukia sana uonevu, ubabe,unyanyasaji na dhuluma kiasi kwamba yuko teyari wakati wowote kuingia katika matatizo kusimamia anachokiamini hata kama kitamgharimu.

Lema yuko tayari kutoa msimamo wake binafsi bila hata kusubiri vikao vya chama pale anapokuwa ameguswa na jambo na hasa jambo linaloumiza.

Pitieni account za wanasiasa wengine wote katika mitandao ya kijamii alafu mniambie ni mwanasiasa gani mwingine amethubutu kuwa outspoken kiasi hiki?.

Ukiacha Kigwangala,ni mwanasiasa gani mwingine ambae hujitojeza hapa JamiiForums mara kwa mara kueleza hisia zake tena bila kumung'unya maneno?

Wanasiasa aina ya Lema wanaoweza kusimama peke yao na kutoa misimamo yao bila kutegemea kivuli cha chama ni wachache mno.Wengi huthubutu kutumia maneno makali kueleza hisia zao wawapo ndani ya Bunge tu na kamwe si nje ya Bunge ambako hakuna kinga ya kutoshitakiwa.

Hongera sana Lema.
 


"Watu hao waliwashambulia kwa silaha butu 1. ELIZABERT D/O PASCHAL, miaka 43, msukuma, mkulima wa Katoro ameumia kisogoni 2. BAHATI S/O MICHAEL, miaka 38, mzinza, mkulima mkazi wa Katoro, amejeruhiwa kichwani."

Hawa Elizabeth na Bahati ni wanachama wa CHADEMA au CCM? I mean ni miongoni mwa wanachama wa CHADEMA waliokuwa kwenye kikao au wanachama wa CCM waliokuwa nje wakituhumiwa kurekodi kikao cha CHADEMA? Kama ni wanaCCM waliokuwa nje ya ukumbi, basi wanaujua mpango mzima. Na aliyetoa taarifa kuwa kuna watu nje wanarekodi kikao cha CHADEMA, naye abanwe vizuri kwa kuwa kuna kila dalili alikuwa sehemu ya mpango wa kumdhuru Mawazo.

"Marehemu alitoweka katika eneo hilo katika mazingira ambayo hata wenzake wameshindwa kuyaelezea."

Hapa police wameanza "cover-up". Yaani waliokuwa na mawazo hawakujua alivyotoweka lakini wakamuona akishambuliwa umbali wa kama nusu kilomita hivi? Na walipomwona anashambuliwa walichukua hatua gani? Hapa kuna ukakasi.
 
jeshi la polisi na greenguard wameshirikiana kufanya mauaji haya kwa kupokea maagizo kutoka juu,hakika damu ya kamanda itawalaani popote muendapo

RIP kaka
 
Jambazi/mhalifu siku zote huwachukia polisi. Haishangazi

unatumia nini kufikili wewe kama lema ni jambazi au mhalifu mkamateni bas hii nchi ipo siku uvumilivu utatushinda.
 
Mtoa mada naona anatafuta UDC (Ukuu wa wilaya) Unajipendekeza unakuwa kama mgeni nchi hii huijiui. Polisi wa Tanzania kazi yao ni kulinda wana CCM na mali zao. Na mimi siwalaumu sana maana mfumo ndio uko hivyo la sivyo kazi huna. Geita jana MwenyeKiti wa Chadema Alphonce Mawazo, ameuawa na waliomuuwa wanajulikana lakini Polisi wana kigugumizi kusema, Uchaguzi Mkuu walishika vijana wa Chadema wanaojumlisha kura wa CCM hawakukamatwa Chagonja anasema hajatumwa huko!?
 
sasa mkuu kama unatukana siku majambaz wa kikuvamia utampigia RPC uliemwita mpumbavu akusaidie?
Hata kama hujatukana unaweza kuomba msaada wa Polisi ukaambiwa gari halina mafuta au tumia mgambo wa kata na tena wakisikia kuna majambazi wenye silaha ndiyo hawaji kabisa! Polisi wako zaidi kuzima mikutano na maandamano ya upinzani kuliko kulinda raia na Mali zao.
 
Waliofanya tuko hili wakamatwe Mara moja na sheria ichukue mkondo wake,
Kwani hakuna mwanadamu mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwenzake.

Police fanyeni kazi yenu kwa weredi wenu na kwa kutumia intelijensia yenu kuwanasa wote waliohusika na tukio hilo.
Ili kuondoa mtazamo hasi juu ya jeshi letu lenye dhamana ya ulinzi wa raia na mali zao.

Siasa hizi za mauaji zikomeshwe Mara moja kuendelea kuzifumbua macho ni kulitumbukiza taifa letu kwenye machafuko.
Wananchi wote tuwe watulivu wakati jeshi la police likifanya kazi yake.

Unachosema ni sahihi lakini hakuna unayemwambia! Polisi! Mmmhhh ndugu yangu!!.komejaga baba.
 
ingekua mama yako, baba yako, mtoto wako dada yako, kaka yako mdogo wako ungeongea hayo? kumbuka ufaransa ina nguvu za kijeshi na nyukilia lakini wameshindwa kulinda raia wao zidi ya raia wengine wenye hasira ya kishetani na waovu, kukaribisha uovu wa namna hii ni hatari hata kwako mwenye hata kama ni askari, mwenye cheo, unalidwa bado hauko salama wala familia yako haiko salama, ni vyema akatajwa, kujulikana akamatwe aliye nyuma ya uovu huu, kiliko kufurahia.
 
Kwa upande mmoja nakubaliana na hoja ya udhaifu wa serikali na polisi maana wangekuwa wanatenda haki nadhani ungeozea jela saa hizi. La pili siku nyingi nimeandika wachaga ni Mafia na iko siku wataiingiza hii nchi kwenye machafuko makubwa kwa tamaa ya ulaji na sio kuongoza nchi. Nilimwambia Slaa hao wachaga ni Mafia yamempata ya kumpata na sasa namwambia Lowassa atake care. La tatu inawezekana wamemuua wenyewe kutengeneza matukio kwani ndio dili la hili chama
 
jeshi la polisi na greenguard wameshirikiana kufanya mauaji haya kwa kupokea maagizo kutoka juu,hakika damu ya kamanda itawalaani popote muendapo

RIP kaka

Tuwe makini kwa kutotuhumu bila kuwa na taarifa kamili ya tukio hilo.
 
Ama kweli ujjinga mzigo
Saaaaanaa, kama ulivyomlemea jamaa yako

Kanda ya Rais hatutaki upinzani, au hujui tulishapanga hilo ktk ilani zetu za ndani?

Hujui alikuwa atushinde kwenye kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge?
Evidence 100%, ingeamsha na kuleta picha tofauti kwa wananchi.

Kama huelewi kaa kimya
 
Anafaa kua Mwenyekiti Taifa, Mbowe atupishe kapiga za kutosha.
 
Back
Top Bottom