Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

Pamoja na kwamba nimesikitishwa na kifo cha kikatili cha ndugu Mawazo lakini sikubaliani na hii tabia ya kupeana tuhuma. Wananchi wengi tunahisi huenda kifo cha mawazo kimesababishwa na mgogoro wa dhulma humo humo ndani ya CHADEMA; Wengine wanasema huenda ni migogoro binafsi kati yake na jamaa zake. CHADEMA mnasema kifo chake kimepelekewa na green guard kumvamia marehemu na wengine mnasema polisi ndio wamemuua. Sasa tushike lipi!?

Aidha, mbona kifo cha Chacha Wangwe hatukuona watu kuguswa hivi!? Wakati kilijaa giza zito na hadi leo haieleweki nini kimemuua Chacha Wangwe. Ndugu Lema kama unajua kuhusu Wangwe tugusie kidogo. Huenda ikatoa mwanga wa kujua kuhusu kifo cha Mawazo. Natazama kwa jicho la tatu tu.

RIP Mawazo

Kazi ya polisi ni nini?
 
Kwakweli inasikitisha na inaumiza sana Pumzika kwa Amani Kamanda.
 
kwanini lema anawachukia polisi kuna biashara gani anayofanya mpaka kufikia kuwachukia hao polisi
 
Hivi mkuu kwanin huwa mnajitia upofu na uziwi kwa kila jambo kwa iyo unafikiri tuhuma ambzo lema anazitoa aliota usiku akayaongea

Hao ambao huwa wanaakaa panga hayo miongoni mwao humo humo hawapendezwi na hayo mambo ndio wanaomwambia lema hivyo usijifanye unaandika hapa kumtuhumu lema yeye pia hutoa zile tuhuma ili kujilinda kwa maana anawajulisha watesi wake kuwa anajua kila kinachoendelea

Na sijui unaposema haya unamanisha nin kwan haiwezekan polisi tumika vibaya?? Yuko wapi mwangosi alikufa kifo ambacho kila mtu aliona kilichotokea lakin mbona report ya jeshi la polisi ulitoka na vituko vya karne? Nafikiria hao polisi sio miungu watu pia wanatumika vibaya ukatae ukubali huo ndo ukwel mchungu kwa wanalumumba mana nyinyi ndio watoa maelekezo wa kubwa
 
..mh.Lema chukueni hatua madhubuti..jilindeni sawia..wanawawinda..watu wabaya hawa...

Inawezekana wanawindana wenyewe kwa wenyewe. Siasa mbaya sana. Zito Kabwe alikoswakoswa na kulishwa sumu mnakumbuka. Kuna jamaa alikuwa anatembea na sumu mfukoni! Bahati nzuri werevu wakang'amua. Kwa hiyo lazima muwe waangalifu sana na mihemko ya kisiasa.
 
Juzi tumeshuhudia polisi akipokea rushwa!!! Tafiti zinaonyesha katika taasisi za umma zinazo ongoza kwa kulalamikiwa na wananchi na kukithiri kwa vitendo vya rushwa jeshi la polisi linashika namba moja!!! jeshi hili unalosema linalinda raia limeshindwa kujilinda lenyewe litaweza kulinda raia kweli?? umesikia mara ngapi vituo vya polisi vina vamiwa afu wewe mwananchi unajiona uko salama. hii nchi ni MUNGU tu ndo kaiweka mikononi sisi hatuna jitihada wala juhudi yeyote. polisi wenyewe wanafunga vituo saa 12. polisi ukiona wanavyopiga watu wanaoandama utazani wao ni robots ili hali na wao wana watoto,baba,mama,kaka,shangazi lakini nguvu wanayotumia polisi hawatumii vichwa vyao kabisa.
 
You are a foolish one! huna hadabu wewe tena jifunze kufikiria kwa kutumia kichwa chako, tena ufahi wewe sijui wa wapi wewe! akiri yako chafu wewe! you are a poor, ignorant not only ignorant you are also synical man!! wangapi wameuawa na polisi tunashuhudia kupitia vyombo huru vya uchunguzi! haya ipo siku yatakwisha unashangilia mauaji! na kushangaa kauli za Lema na kuzisahau za Pinda Synical Man!
 
kwanini lema anawachukia polisi kuna biashara gani anayofanya mpaka kufikia kuwachukia hao polisi

Wewe unawapenda polisi?
Kwa lipi jema ambalo wanalifanya?
Ni haki yako wapenda maana wapo upande wenu siku wakigeuka ndo utaelewa kwa nn lema anawachukia polisi
 
Wasiosoma physics wataelewaje? Sasa hapa ndiyo umeandika nini? Who is popular as between Lema and you? Bure kabisa. Kauze mashati,fulani,vitambaa na suruali za CCM pale Lumumba
 
Godbless Jonathan Lema inaumiza sana,kamanda Mawazo pumzika kwa Amani.
 
Ana uhakika au anasema tu kutafuta kiki??

Ukiwa na akili utatambua kuwa jamaa anatafuta kiki, anaingilia kazi za polisi na pia kueneza habari za uongo mtandaoni (makosa ya kimtandao) ili akamatwe, apate kiki! Huyu jamaa ni mzee wa matukio, sitashangaa akianza kusema yale mauaji ya ufaransa, polisi wa Tz hawakuwajibika vya kutosha!
 
Hivi mkuu kwanin huwa mnajitia upofu na uziwi kwa kila jambo kwa iyo unafikiri tuhuma ambzo lema anazitoa aliota usiku akayaongea

Hao ambao huwa wanaakaa panga hayo miongoni mwao humo humo hawapendezwi na hayo mambo ndio wanaomwambia lema hivyo usijifanye unaandika hapa kumtuhumu lema yeye pia hutoa zile tuhuma ili kujilinda kwa maana anawajulisha watesi wake kuwa anajua kila kinachoendelea

Na sijui unaposema haya unamanisha nin kwan haiwezekan polisi tumika vibaya?? Yuko wapi mwangosi alikufa kifo ambacho kila mtu aliona kilichotokea lakin mbona report ya jeshi la polisi ulitoka na vituko vya karne? Nafikiria hao polisi sio miungu watu pia wanatumika vibaya ukatae ukubali huo ndo ukwel mchungu kwa wanalumumba mana nyinyi ndio watoa maelekezo wa kubwa

sasa mkuu kama unatukana siku majambaz wa kikuvamia utampigia RPC uliemwita mpumbavu akusaidie?
 
Amekufa Mtikila ambaye ni mwenyekiti wa chama hamkutoa macho kama hivi. Sababu tuu alikuwa anaelekea kutusababisha tukose ushindi! Mnajua nani alisababisha haya. Ipo under pokice investigation kama ilivyo ya Mawazo. Subirini ripoti ya polisi. Mnachozungumza mnaweza kukuta sivyoo kabisa mkabaki mnabung'aa tuu.
 
Nacha yule muandishi wa habari wa iringa je?kama hamna ushahidi mnyamaza haya mambo yanakwaida ya kujilipa yenyewe.
 
Back
Top Bottom