Jamani Mbona hakuna anayeeleza kisa cha yeye kuvamiwa? Yeye kama mwananchi anaweza tenda kosa kwahiyo msikimbilie kwenye nafasi yake bila kueleza mkasa mzima.
Pamoja na kwamba nimesikitishwa na kifo cha kikatili cha ndugu Mawazo lakini sikubaliani na hii tabia ya kupeana tuhuma. Wananchi wengi tunahisi huenda kifo cha mawazo kimesababishwa na mgogoro wa dhulma humo humo ndani ya CHADEMA; Wengine wanasema huenda ni migogoro binafsi kati yake na jamaa zake. CHADEMA mnasema kifo chake kimepelekewa na green guard kumvamia marehemu na wengine mnasema polisi ndio wamemuua. Sasa tushike lipi!?
Aidha, mbona kifo cha Chacha Wangwe hatukuona watu kuguswa hivi!? Wakati kilijaa giza zito na hadi leo haieleweki nini kimemuua Chacha Wangwe. Ndugu Lema kama unajua kuhusu Wangwe tugusie kidogo. Huenda ikatoa mwanga wa kujua kuhusu kifo cha Mawazo. Natazama kwa jicho la tatu tu.
RIP Mawazo
Waliofanya tuko hili wakamatwe Mara moja na sheria ichukue mkondo wake,
Kwani hakuna mwanadamu mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwenzake.
Police fanyeni kazi yenu kwa weredi wenu na kwa kutumia intelijensia yenu kuwanasa wote waliohusika na tukio hilo.
Ili kuondoa mtazamo hasi juu ya jeshi letu lenye dhamana ya ulinzi wa raia na mali zao.
Siasa hizi za mauaji zikomeshwe Mara moja kuendelea kuzifumbua macho ni kulitumbukiza taifa letu kwenye machafuko.
Wananchi wote tuwe watulivu wakati jeshi la police likifanya kazi yake.
Na nyie viongozi wa ukawa mmekaa kimya sana , toeni tamko kieleweke sio kulia lia kwenye social media,
Mku inauma sana watoe tamko juu ya uchaguzi uliopita ,watoe tamko juu ya haya mambo ya kishenzi yanayoendelea ,watoe tamko kwanini HRLC ilivamiwa na polisi, siku chache mbele Helen K Bisimba akapata ajali ,huu ukimya wao hata kama unajenga ifike sehemu watoe maamuzi
Kwa hyo akitenda kosa ana uwawa!? We jinga kabisaJamani Mbona hakuna anayeeleza kisa cha yeye kuvamiwa? Yeye kama mwananchi anaweza tenda kosa kwahiyo msikimbilie kwenye nafasi yake bila kueleza mkasa mzima.
Hii haikubaliki ....hii lazima ifike mwisho ....
Waliofanya tuko hili wakamatwe Mara moja na sheria ichukue mkondo wake,
Kwani hakuna mwanadamu mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwenzake.
Police fanyeni kazi yenu kwa weredi wenu na kwa kutumia intelijensia yenu kuwanasa wote waliohusika na tukio hilo.
Ili kuondoa mtazamo hasi juu ya jeshi letu lenye dhamana ya ulinzi wa raia na mali zao.
Siasa hizi za mauaji zikomeshwe Mara moja kuendelea kuzifumbua macho ni kulitumbukiza taifa letu kwenye machafuko.
Wananchi wote tuwe watulivu wakati jeshi la police likifanya kazi yake.
atakuwa kauawa na wahalifu,halafu watu wanaingiza siasa,ndo maana hawataki kueleza hasa kimetokea niniJamani Mbona hakuna anayeeleza kisa cha yeye kuvamiwa? Yeye kama mwananchi anaweza tenda kosa kwahiyo msikimbilie kwenye nafasi yake bila kueleza mkasa mzima.
Wakitoa tamko una uwezo wa kulifanyia kazi? Wacha mbwembwe wewe! Ukisikia ameuwa Msukuma utayaona ma-policcm yatakavyohaha kuwasaka wauaji!
Kamanda Mawazo kauawa na Polisi na inajulikana,najiuliza hivi hawa Polisi wetu ni Watanzania?na kama ni Watanzania wanapigania nini?nasema wazi watatumaliza wote ili wabaki wenyewe,lakini kabla hawajatumaliza haki itachukua mkondo wake na ndipo Taifa langu Tanzania litainuka kutoka kwenye mavumbi,Mungu M;laze pema Kaka yangu Kamanda Mawazo!