Kamanda Mambosasa aeleza jambazi Komando kutoka Burundi wa wenzake wawili walivyouawa na Polisi

Nijuavyo mimi, watuhumiwa wa ujambazi, wakienda kuonyesha silaha, au kutoka popote nje ya mahabusu, huwa wamefungwa pingu na ulinzi mkali, watu wenye pingu, wataroka vipi, kwa distance ipi kushindwa kuwa destabilize kwa kuwapiga risasi za miguu?!.

Naamini huu ni utekelezaji wa agizo hili,na askari hao wanasubiri kupandishwa vyeo!.
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?
Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa ...

IGP Kamanda Sirro, Usiruhusu Vifo Vya Uzembe Kama Huu Kuchafua Jeshi Letu Safi la Polisi!.

Karma is for real.

Paskali
wanadhani wote tu wajinga. Mbona kuna siku watajibu!
 
Nakuelewa sana Leo paskali
 
Kila wakati mauaji yao huwa wanaenda kuonyesha silaha zilipo, mmhhhh, ukikamatwa ukasikia katuonyeshe silaha zilipo, jua ndo kwaheri yako.
 
Ukisema kuwa, kukamata jambazi na kuliangamiza ni kukiuka haki za binadamu, utakuwa haujaitendea haki jamii inayodhulumiwa na hayo majambawazi.
Kashogi ambalo hulifanya wakati wakitekeleza uhalifu wao, hakika hauwezi kuwaonea huruma hata kidogo.
Ni vizuri mtindo unaotumika sasa wa kukabiliana kiume, yaani kunyang'anya silaha majambazi harakaharaka.
Hata wangelikuwa kumi na hosipitali iwe mita100 toka kwenye eneo la tukio, lazima hapo njiani watokwe na damu nyingi na kwa ujumla wao wote wafe kutokana na majeraha waliyoyapata kwenye majibizano ya risasi.
Hongereni polisi kwa kazi nzuri.
Dawa ya moto ni moto.
 
Nijuavyo mimi, watuhumiwa wa ujambazi, wakienda kuonyesha silaha, au kutoka popote nje ya mahabusu, huwa wamefungwa pingu na ulinzi mkali, watu wenye pingu, wataroka vipi, kwa distance ipi kushindwa kuwa destabilize kwa kuwapiga risasi za miguu?!.

Naamini huu ni utekelezaji wa agizo hili,na askari hao wanasubiri kupandishwa vyeo!.
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?
Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa ...

IGP Kamanda Sirro, Usiruhusu Vifo Vya Uzembe Kama Huu Kuchafua Jeshi Letu Safi la Polisi!.

Karma is for real.

Paskali

Haya maswali nimeshauliza mara nyingi lakini hamna majibu ya maana. Hii inawafanya polisi wetu wa "act with impunity", matokeo yake imekuwa mazoea, na sasa hishii tu kwa majambazi tu (maana wanasema every one is presumed innocent unti proven guilty), inaenda hata kwa wananchi wa kawaida.
 
Nadhani kwa sasa tukubaliane tu story iwe hii moja ya majambazi walitaka kutoroka tukawafyatulia risasi tulipowafikisha hosp walikua wamefariki,hii itaokoa muda.
 
Nijuavyo mimi, watuhumiwa wa ujambazi, wakienda kuonyesha silaha, au kutoka popote nje ya mahabusu, huwa wamefungwa pingu na ulinzi mkali, watu wenye pingu, wataroka vipi, kwa distance ipi kushindwa kuwa destabilize kwa kuwapiga risasi za miguu?!.

Naamini huu ni utekelezaji wa agizo hili,na askari hao wanasubiri kupandishwa vyeo!.
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?
Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa ...

IGP Kamanda Sirro, Usiruhusu Vifo Vya Uzembe Kama Huu Kuchafua Jeshi Letu Safi la Polisi!.

Karma is for real.

Paskali
Safi mkuu uko objective .
 
Do You know the perfomance of real Comando?what is pingu kwa comando...Fatilia hautahoji tena
 
Kama mtu hataki kupigwa chuma basi aache ujambazi.
Nakubaliana kabisa na Jeshi la Polisi kwa hatua za kukomesha ujambazi kwa wakati huu.

Kama sio uimara wa Jeshi letu la polisi awamu hii ambayo vyuma vimekaza basi tungekua tunanyanyaswa na majambazi mchana kweupe kama enzi za ukapa wa awamu ya tatu.Maisha yalikua magumu sana kwa watu wa chini na majambazi yalikua wanavaa tishirt zilizoandikwa mtaji wa maskini ni nguvu zake.
Yalisumbua sana kwenye mabenki na kuteka mabasi.

Watu labda wamesahau kuwa nidhamu ya maisha ni pamoja na kukomesha kabisa vitendo vya kihalifu.

Jeshi letu la polisi likilegea eti kwa kuwakamata na kuwanunulia soda majambazi ,nchi hii itakua salama kwa wahalifu toka nchi jirani.

Kuna kanchi kamoja kanakojifanya kana maendeleo kwa kupora madini kule Kongo. Kalipata kaupenyo ka kutumia wahalifu wa kuingia kule na kutoka kirahisi na wakikamatwa walikua wanachekewa na hatimaye kutoroka kutokana na umahiri wa wahalifu hao ambao wengi wao walikua ni wanajeshi.

Jeshi letu la polisi linafanya vizuri kuwapiga risasi wale wanaojifanya kuwa wanauwezo wa kukimbia wakiwa chini ya ulinzi.
Na ni vizuri kabisa wasisubiri mpaka lijambazi linapoanza kukimbia ila hata wanapoona dalili ya kutaka kukimbia basi dawa yao ni kufyeka hiyo miguu alimradi tu yameshaonyesha silaha na kutaja mtandao wao ulipo basi hakuna kuremba remba tena.

Polisi pigeni kazi ya kukomesha ujambazi ili hata wanasiasa wasiishi kwa hofu ya kuvamiwa.
 
Back
Top Bottom