Kamanda Mambosasa aeleza jambazi Komando kutoka Burundi wa wenzake wawili walivyouawa na Polisi

Nijuavyo mimi, watuhumiwa wa ujambazi, wakienda kuonyesha silaha, au kutoka popote nje ya mahabusu, huwa wamefungwa pingu na ulinzi mkali, watu wenye pingu, wataroka vipi, kwa distance ipi kushindwa kuwa destabilize kwa kuwapiga risasi za miguu?!.

Naamini huu ni utekelezaji wa agizo hili,na askari hao wanasubiri kupandishwa vyeo!.
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?
Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa ...

IGP Kamanda Sirro, Usiruhusu Vifo Vya Uzembe Kama Huu Kuchafua Jeshi Letu Safi la Polisi!.

Karma is for real.

Paskali
Acha kuwatetea majambazi,majambazi yakiwa kazini hayatambui hizo haki za binadamu.
 
Tumewadhibiti kwa risasi. Baada ya kuwapeleka Mwananyamala, tukaambiwa wameshafariki. Sounds familiar? Modus operandi ya police wetu. Kwanini huwa hawawachapi risasi za viunoni au miguuni ili waje wawahoji vizuri majeruhi? Jamaa wanatupia za kichwani tu au kifuani. Shoot to kill and interrogate maiti later.
Hao watu walikuwa na pingu, je wanatorokaje?
 
Nijuavyo mimi, watuhumiwa wa ujambazi, wakienda kuonyesha silaha, au kutoka popote nje ya mahabusu, huwa wamefungwa pingu na ulinzi mkali, watu wenye pingu, wataroka vipi, kwa distance ipi kushindwa kuwa destabilize kwa kuwapiga risasi za miguu?!.

Naamini huu ni utekelezaji wa agizo hili,na askari hao wanasubiri kupandishwa vyeo!.
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?
Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa ...

IGP Kamanda Sirro, Usiruhusu Vifo Vya Uzembe Kama Huu Kuchafua Jeshi Letu Safi la Polisi!.

Karma is for real.

Paskali
ID yako iko open sana huogopi?
 
Wewe paskal kigeugeu umewasifia muda sio mrefu saizi unawakana??
 
Nijuavyo mimi, watuhumiwa wa ujambazi, wakienda kuonyesha silaha, au kutoka popote nje ya mahabusu, huwa wamefungwa pingu na ulinzi mkali, watu wenye pingu, wataroka vipi, kwa distance ipi kushindwa kuwa destabilize kwa kuwapiga risasi za miguu?!.

Naamini huu ni utekelezaji wa agizo hili,na askari hao wanasubiri kupandishwa vyeo!.
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?
Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa ...

IGP Kamanda Sirro, Usiruhusu Vifo Vya Uzembe Kama Huu Kuchafua Jeshi Letu Safi la Polisi!.

Karma is for real.

Paskali
Kuna wakati utimamu wa fikra huambatana na wewe.
 
Mimi nachowapendea askari wetu siku hizi ni hiyo tabia ya kutowakamata majambazi na sijui kuanza kuendesha nao makesi. Huu utaratibu wa kuwalaza chini umekaa vizuri sana.
kesho atalazwa anayekuhusi na asiwe mwizi, shangilia
 
Back
Top Bottom