Kamanda Lema ndani ya Arumeru

Kamanda Lema ndani ya Arumeru

Kwa hiyo unataka kutuambia Wameru wote ni Chadema?

Si ndiyo? hao uliowaona ccm sidhani kama ni Wameru maana hakuna mmeru anayekubali kununuliwa! pia hakuna mmeru mwanaume anayetoga masikio
A%20S%20embarassed.gif
 
Msitake kutishia Watu nyie,wameru labda miaka ya zamani ndio walikuwa wanawababaisha wanakijiji wenzao,hawana lolote. Nyie ngojeni madume ya CCM yatue huko Kama hao morani went hawakushikishwa ukuta. Hi ndio tatizo la JF,Watu wana mkwara babu kubwa wakati hakuna lolote.

Njoo uone moto! tusiandikie mate maana tunakoelekea ni huko, labda mwe wapole kama jamaa yangu flani
 
Anaenda Meru kufanya nini wakati mwaka wa pili unaisha bila kufanya chochote jimbo la Arusha?
 
Si ndiyo? hao uliowaona ccm sidhani kama ni Wameru maana hakuna mmeru anayekubali kununuliwa! pia hakuna mmeru mwanaume anayetoga masikio:A S embarassed:
Acha uongo!
Kuna wameru wengi tu ambao ni CCM.... wengi tu.
Babu yangu ametoga masikio,
 
Hii yote ni aibu kwa Tendwa na CcM wenzako na ikumbukwe kua sio kila mtu mwenye mvi ana busara
 
Hili tatizo ni kubwa na limetengenezwa kwa hila na ccm mana walijua kuwa Mshiri mkuu ni ukoo wa Sumari hivyo awasaidie na asaidie ukoo! Sasa kwa mwendo huu na kwa udhaifu wa serikali,tusubiri tuone moto wa kimeru.
Eti polisi wanataka wapewe taarifa? Labda watapewa na mafisadi ili wawalinde kama kawaida,No trust in polisi,no trust in Mwema,no trust in Changoja,no trust ni RC and no trust in DC as well as ................
 
Nimefuatilia ulivyomtoa kijasho spika juu ya uongo wa prime minister,watu wa arusha mjini wanavyokuona 'special one' na sasa arusha nzima kutambua kuwa 'the only one'.umefikia hatua ya kuwa kichomi kwa ccm mpaka wanatunga proper...shabab kuwa usifike meru bila wao kujua kuwa unaenda huko daily.UMEKUWA MFANO MZURI WA WABUNGE WALIOWAHI KUTOKEA HAPA ARUSHA,ongeza juhudi na usiogope vitisho.TUNASUBIRI MIKUTANO YAKO MERU....
 
Ndio nini hiki? Hakukua na haja ya kuanzisha thread yenye maudhui haya wakati zipo threads nyingi zinazomhusu Lema pamoja na uchaguzi wa Arumeru
 
haki yako kikatiba kutoa maoni!!!ila usichanganye na matingasi!!
 
Every person has right to express what he think abt politics in this indpendent forum,huyu bwana kakosea nini?,kuna magamba wakiona jina la lema wanaishiwa hata pumzi.
 
Keep on Lema coz mti mwenye matunda hauwezi kuishi bila kutupiwa mawe, so unakitu kizuri tarajia kurushiwa viji visa na maneno hapa na pale kila siku. Ila kukoroma kwa mtu hakumnyimi mwenye usingizi wa kweli kulala.
 
Katoa maoni? Kaleta habari? Kaandika risala? kapiga gumzo? Au yote ni sawa?
 
A true leader has the confidence to stand alone, the courage to make tough decisions, and the compassion to listen to the needs of others. They do not set out to be leaders, but become one by the quality of their actions and the integrity of their intent. In the end, leaders are much like eagles… they don’t flock, you find them one at a time.
 
Back
Top Bottom