lema is not a chinese leader.a leader is born and not made.so lema was born or made to lead?
A leader is born and not made.So Lema was born or made to lead?
Hivi Lema ndio anae gombea ubunge? mbona sifa za ghafla.
kapiga gumzo,na wewe lete ya mbunge wako Steven wassira na Juma njwayo
Katoa maoni? Kaleta habari? Kaandika risala? kapiga gumzo? Au yote ni sawa?
A leader is born and not made.So Lema was born or made to lead?
Sasa kama Tendwa ni mnafik basi kwanini Lema amewekewa hao walinzi njaa? Au ndio wanaogopa asije pigwa lile dole?
Steven Wasira ni jitu lenye miraba minne, linalotisha kwa sura na katika medani za kisiasa. Ni jitu lenye uwezo mkubwa katika kujenga hoja za nguvu zenye kueleweka na zaidi ubongo wake una uwezo wa kupakia hadi GB 800,000.
Leader is made and not born!every one can be a leader and no one is born to be a leader.
lema is not a chinese leader.
Steven Wasira ni jitu lenye miraba minne, linalotisha kwa sura na katika medani za kisiasa. Ni jitu lenye uwezo mkubwa katika kujenga hoja za nguvu zenye kueleweka na zaidi ubongo wake una uwezo wa kupakia hadi GB 800,000.
One man team in Arusha
Wasira mwenyewe ndo huyu hapa!Steven Wasira ni jitu lenye miraba minne, linalotisha kwa sura na katika medani za kisiasa. Ni jitu lenye uwezo mkubwa katika kujenga hoja za nguvu zenye kueleweka na zaidi ubongo wake una uwezo wa kupakia hadi GB 800,000.