Kamanda Lema kutoka selo Jumatatu

- Mkuu ulizia vizuri kwa nini Lema alikataa kutoka jela, utajua sio kabisa mnayodanganyana hapa! ha! ha! JF hamna baba hapa unasimama mwenyewe kujibu hoja! ha! ha! ha! Siasa za baba hamna hapa ni taifa mbele na kwanza!

Le Mutuz Baharia! Willy @ NYC, USA.
sina haja ya kuulizia, wewe endeleea kuulizia sisi ukweli tunaujua...tunamsubili baba yako arudishe pesa yetu kama kweli ni taifa kwanza....
 
- Mkuu wangu Lunyungu ni text namba yako ya sasa kwenye + 1 914-473-1033 nitakutwangia baack maana nimepita tu hapa kidogo baada ya Nape kuniambia asubuhi hii kuhusu hiii topic na nyingine kule, otherwise nimezidiwa sana na shughuli siku hizi muda ni mdogo sana, nitumie text ya namaba yako nitakupigia, sasa hivi naelekea Boston nipo safarini!

Much Respect Bro!

Le Mutuz Baharia Willy @ NYC, USA.
Mwambie nape aache kujichubua...
 
Tatizo mkuu unapewa hizo Data na Rafiki yako Nape.Niliona picha yenu hapa JF ulivyokuwa unampeleka Airport.

- Sikumpeleka Nape anywhere kwanza yeye yupo Ohio sasa hivi, niliyoyasema na mnayoyasema ni tofauti kabisaa ndio kama kawa kubadilisha habari na kutkana matusi tu, hakuna mahali nimesema nimempeleka Nape JFK na wala na hata hiyo picha hapo juu haina anything to do na JFK ilikuwa mahali pengine kabisaa ila kwa sababu ya kulazimisha habari kwa nguvu imeungwa ungwa ilei habari ili iwe kama mtoa mada anavyotaka na wengi wanavyotaka hapa, inasikitisha sana!

Le Mutuz Baharia! Willy @ NYC, USA
 
Zuberi akae mkao awaone hao aliowaita panya watakavyojitokeza kwa wingi kumlakimpambanaji wao na hapo ndipo atagundua kuwa anatumia MASABURI kufanya kazi yake. Pipoooooooooooooooooooooooooooooooz! Pow.......................................................................er.
 
kamanda wa chadema kaipata kaonja jela waziri kivuli wa mambo ya ndani kashindwa kujiokoa!!!!!!!!!!!!!!!!! hii kali waziri kivuli wa wizara hiyo hiyo
 
- Mkuu wangu Lunyungu ni text namba yako ya sasa kwenye + 1 914-473-1033 nitakutwangia baack maana nimepita tu hapa kidogo baada ya Nape kuniambia asubuhi hii kuhusu hiii topic na nyingine kule, otherwise nimezidiwa sana na shughuli siku hizi muda ni mdogo sana, nitumie text ya namaba yako nitakupigia, sasa hivi naelekea Boston nipo safarini!

Much Respect Bro!

Le Mutuz Baharia Willy @ NYC, USA.

Ale ale ulibaha?
Wakunoza chi? Mdodo wa malechela? Ale ale ukuchemwa baharia?ale ale limdodo la malechela.

We muhuni tu.afi watoto wa viongoz mnatafuta nin humu?
We c ukae huko boston uku kunakuhusu?
Aggh bwana,af wagogo wanapenda kuomba msaada.
 
alikataa dhamana ili kupata umaarufu wa kisiasa kazi ipo eti anawakomoa CCM ,,,,,,, siasa ni jinsi unavyozicheza
 
kamanda wa chadema kaipata kaonja jela waziri kivuli wa mambo ya ndani kashindwa kujiokoa!!!!!!!!!!!!!!!!! hii kali waziri kivuli wa wizara hiyo hiyo

Zuberi ameona hapo ni noma ndiyo Ameanza kujieleza kuwa eti kalelewa kwenye maadili mazuri.
 
W. J. Malecela ni ushauri wa bure tu. Wewe ni zao la kifisadi. Ukiugua hautibiwi Mwananyamala

- Ninaishi USA unasema nikumwa nikatibiwa Mwananyamala ndio nitakuwa sio mtoto wa fisadi? ha! ha! ha! ha!, well, naomba kuondoka jamani nilipita kidogo tu, maana naona hata hoja hamna ila kelele za mlango tu, kwaherini wakuu na mbarikiwe zaidi!

- Una maana na Mbowe ni zao la kifisadi sasa anaongozaje Chadema au anawazuga? Zitto alipoumwa majuzi alipelekwa Mwananyamala? Au naye ni zao la kifisadi? ha! ha! ha!

willy @ NYC, USA Le Mutuz!
 
Ni swali tu hivi lema havuti ile sigara kubwa? macho yake ni mekundu au ndivyo alivyo
 
- Mkuu angalia nilianza lini haya mambo ya mitandao, halafu uniambie kwamba Nape ndio chanzo cha dataz zangu vipi mkuu siku hizi naona huku hakna tena hoja kujibiwa kwa hoja, ila hoja kujibiwa na matusi na majina, vipi kumkoma nyani siku hizi?

Le Mutuz! Willy @ NYC, USA.
Hapo juu kakana kuwa chanzo cha data zake siyo Nepi

- Mkuu wangu Lunyungu ni text namba yako ya sasa kwenye + 1 914-473-1033 nitakutwangia baack maana nimepita tu hapa kidogo baada ya Nape kuniambia asubuhi hii kuhusu hiii topic na nyingine kule, otherwise nimezidiwa sana na shughuli siku hizi muda ni mdogo sana, nitumie text ya namba yako nitakupigia, sasa hivi naelekea Boston nipo safarini!

Much Respect Bro!

Le Mutuz Baharia Willy @ NYC, USA.
Hapa kajisahau.................
 
- Mkuu angalia nilianza lini haya mambo ya mitandao, halafu uniambie kwamba Nape ndio chanzo cha dataz zangu vipi mkuu siku hizi naona huku hakna tena hoja kujibiwa kwa hoja, ila hoja kujibiwa na matusi na majina, vipi kumkoma nyani siku hizi?

Le Mutuz! Willy @ NYC, USA.

Unajuwa chanzo cha Baba yako kumnunua Lusinde mwaka 2005?
Kama hujui ngoja nikueleze
1. baba yako alikuwa ni mbinafsi sana kiasi ambachacho ni mgogo pekee aliye na madaraka juu serikalini na Lusinde aliweza kudhibitisha hilo
2. Yeye ndiye aliyekuwa ana engineer zoezi la wagogo kuhamishwa mjini dsm wakiwa ombaomba, lakini hatujaona zoezi la kuhamisha makabila mengine including wanaoeneza ukimwi , lusinde alilifafanua vizuri
3.Mzee alikuwa anataka kugombea urais kila uchaguzi bila mafanikio na hiyo ni kwa sababu inasemekana ana kale katabia kama ka Mbatia na hiyo ndiyo ilisababisha kifo cha Ipyana Malecela na mzee akakataa usifanyike uchunguzi wowote, siri yake aliijua
Hizo ndizo sababu kuu za Lusinde kuhongwa ili ahamie CCM, sasa kama ni hivyo malecela alitoswa mara ngapi kugombea urais na hakuenda jela kama mbinu ni hiyo? hiyo inaonyesha kuwa Lema ni Bright kuliko wewe na hata familia yenu kwa ujumla
Nawasilisha
 
Ale ale ulibaha?
Wakunoza chi? Mdodo wa malechela? Ale ale ukuchemwa baharia?ale ale limdodo la malechela.

We muhuni tu.afi watoto wa viongoz mnatafuta nin humu?
We c ukae huko boston uku kunakuhusu?
Aggh bwana,af wagogo wanapenda kuomba msaada.

- Yaaaani JF imefikia hivi? ha! ha! ha! sasa wakuuu naomba kuondoka kwaherini I mean this is way too high!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
 
malecela,

binafsi naona nyinyi wana wa wakubwa hamuoni au mmpigwa upofu msione uhalisia wa uduni unaosababishwa na ubinafsi na ufisadi wazee wenu walioushiriki katika chama chenu, ccm (tofauti na aliyoiasisi mwalimu).

Mnapinga hata harakati njema na kuzikebehi. Lema anapigania haki baadaa kuona haitendeki. Hili ni somo kwa watawala. Tunahitaji kufikia ujasiri wa kusimama hata mbele ya FFU mwenye bunduki na kumwambia 'piga', kama tu ni katika kuidai haki na kupinga dhuluma. Hii ni safari ambayo sisi wanamabadiliko tuko tayari kuipita.

Bila shaka wewe huguswi na matatizo ya watu duni, bila shaka wewe na watoto wenzio wa vibosile hamguswi na matatizo ya makabwela, mnasubiri mrudi tz mgombee ubunge na kufanya kazi ikulu na kwenye chama kama january na nape.

Haki tutaidai, tutaifuata iliko, kuna gharama yake, tuko tayari kuilipa kwa manufaa ya vizazi vyetu.

Mungu ibariki Tanzania
 
Unajuwa chanzo cha Baba yako kumnunua Lusinde mwaka 2005?
Kama hujui ngoja nikueleze
1. baba yako alikuwa ni mbinafsi sana kiasi ambachacho ni mgogo pekee aliye na madaraka juu serikalini na Lusinde aliweza kudhibitisha hilo
2. Yeye ndiye aliyekuwa ana engineer zoezi la wagogo kuhamishwa mjini dsm wakiwa ombaomba, lakini hatujaona zoezi la kuhamisha makabila mengine including wanaoeneza ukimwi , lusinde alilifafanua vizuri
3.Mzee alikuwa anataka kugombea urais kila uchaguzi bila mafanikio na hiyo ni kwa sababu inasemekana ana kale katabia kama ka Mbatia na hiyo ndiyo ilisababisha kifo cha Ipyana Malecela na mzee akakataa usifanyike uchunguzi wowote, siri yake aliijua
Hizo ndizo sababu kuu za Lusinde kuhongwa ili ahamie CCM, sasa kama ni hivyo malecela alitoswa mara ngapi kugombea urais na hakuenda jela kama mbinu ni hiyo? hiyo inaonyesha kuwa Lema ni Bright kuliko wewe na hata familia yenu kwa ujumla
Nawasilisha

- Mkuu Lema hatakiwi na Chadema tena na anajaua ndio maana kakatalia kutoka jela, naomba nimabie kama ni uongo hayo ya Malecela hayahusu hapa, ninasema Lema hatakiwi na Chadema, ndio maana alikataa kutoka jela, lets talk on that kama una ya Malecela yafungulie thread yake hii si inasema Lema au? ha! ha! ha!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
 
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!

Wewe mtoto wa Jumanne umelimbuka na siasa za maji ya chooni ulizoambukizwa na Nape alivyokuja kulala hapo kwako juzi. Chochote unachokinena wewe hapa JF sio mawazo yako bali namuona Jumanne akiongea mdomoni kwako. Kumeshakucha achia shuka siasa za sirname zinafikia mwishoni bwana green guard. Its a biggining of the end of your family dream.
 
Back
Top Bottom