Kamanda Lema kutoka selo Jumatatu

Ngoja nikutie moyo kabla ya vyama vingi mi nilifikaga kwenu wakati huo baba yako akiwa waziri mkuu aliyefanya nifike alikuwa sijui ni mdogo wako au ni dada yako alikuwa anasoma Kibosho girls tulipokelewa vizuri sana na mzee hapo ndiyo tuliongea mambo mengi tu.





QUOTE=W. J. Malecela;2764536]
- Yaaaani JF imefikia hivi? ha! ha! ha! sasa wakuuu naomba kuondoka kwaherini I mean this is way too high!


Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia![/QUOTE]
 
Wewe mtoto wa Jumanne umelimbuka na siasa za maji ya chooni ulizoambukizwa na Nape alivyokuja kulala hapo kwako juzi. Chochote unachokinena wewe hapa JF sio mawazo yako bali namuona Jumanne akiongea mdomoni kwako. Kumeshakucha achia shuka siasa za sirname zinafikia mwishoni bwana green guard. Its a biggining of the end of your family dream.

- Duh! Lema hayupo tena imekuwa Jumanne! ha! ha! ha! ha!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz!
 
Ngoja nikutie moyo kabla ya vyama vingi mi nilifikaga kwenu wakati huo baba yako akiwa waziri mkuu aliyefanya nifike alikuwa sijui ni mdogo wako au ni dada yako alikuwa anasoma Kibosho girls tulipokelewa vizuri sana na mzee hapo ndiyo tuliongea mambo mengi tu.





QUOTE=W. J. Malecela;2764536]
- Yaaaani JF imefikia hivi? ha! ha! ha! sasa wakuuu naomba kuondoka kwaherini I mean this is way too high!


Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
[/QUOTE]

- Haya people kwaherini jamani tutaonana tena Mungu akipenda maana ninaendesha kuelekea Boston, MBARIKIWE ANA JF JUU ZAIDI NA KUMKOMA NYANI!

Le Mutuz Baharia!
 
- Mkuu Lema hatakiwi na Chadema tena na anajaua ndio maana kakatalia kutoka jela, naomba nimabie kama ni uongo hayo ya Malecela hayahusu hapa, ninasema Lema hatakiwi na Chadema, ndio maana alikataa kutoka jela, lets talk on that kama una ya Malecela yafungulie thread yake hii si inasema Lema au? ha! ha! ha!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!

Organic foods zinakuathiri uwezo wako wa kufikiri bwana Willy Jumanne. Siasa za enzi za TAA zimepitwa na wakati, Jaribu kuwa na tabia ya kujisomea vitabu na machapisho mbalimbali utagundua anachokifanya lema kimeshafanywa na wanaharakati wengi sana tangu karne ya 14 kwa manufaa ya chama chake, Waraka wa Lema ni A4 tena one page tu acha uvivu usome kwa makini ukimaliza utajihisi kudelete haya mawashiwashi uliyoyapost humu Jf bwana green guard.
 
Nina wasiwasi kama mkutano utaruhusiwa leo tumesikia huko Dar John Mnyika kazuiwa kufanya mkutano kisa Al Shabaab itakuwa arusha.....

Sijajua. Hivi haya makusanyiko na maandamano yanayokatazwa sababu ya Alshabab ni ya CDM tu? Mbona mechi za Simba na Yanga zinaendelea!,mbona mahubiri ya dini yenye mikusanyiko mikubwa ipo kama kawa. Mbona watu wanajaa Maisha club,San Siro,Travel tine,Jolly Ambiance,G .8 na Hunters Kinondoni n.k? Hawakatazwi?. Tafakari!
 
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
hupendezi kuwa mmbeya fisadi mtoto wewe, na ngoja tuchukue nchi mtabaki huko huko mkibeba mabox, pesa za ufisadi zitakuwa hamzipati tena.
 
Leo Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA kamanda Mbowe,akiambatana na viongozi wa mkoa na wilaya alimemtembelea Lema selo,na kuafikiana kutoka jumatatu,baada ya kutoka tutafanya mkutano mkubwa sana viwanja vya NMC,ili kuwaeleza wananchi sakata zima la kugomea dhamana

Asante kwa taarifa. Mapambano yanaendelea.
 
- Jadili hoja mkuu hoja hujibiwa kwa hoja, sio majina ya wasiohusika!, Nape ni rafiki yangu kama alivyo Mbowe, sidhani kama kuna crime hapo, jadili hoja tu mkuu wangu!

Le Mutuz Willy @ NYC, USA.

Source za data zako ni wapi ili nasi tu criticize its reliability!?
 
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!

umeingia na gia kubwa..usiamini kila unalosikia kutoka kwa Nape..CHANGANYA NA ZAKO.
 
- Haya people kwaherini jamani tutaonana tena Mungu akipenda maana ninaendesha kuelekea Boston, MBARIKIWE ANA JF JUU ZAIDI NA KUMKOMA NYANI!

Le Mutuz Baharia! [/QUOTE]

Sasa kila mtu akiwaanaandika humu JF mahali anapoelekea tutakuwa tunaigeuza JF kuwa Feisibuku. Kwa sababu Nape ni shost ako na wewe unatabia za ulimbukeni kama yeye ndo maana mnaendana.
 
Ninawasiwasi mkutano kuzuiwa kwa intelijensia za kimasaburi, eti El-shabaab
 
Kuna mtu anaweza kukanusha habari ya William Malecela kwa kutupa maelezo ya kina? Kabla ya kumshambulia William tujiulize hizi habari katoa wapi? na nini hasa kinaendelea Arusha? Usikute ccm baada ya kuwahadaa wale madiwani bado wanaendelea kutafuta namna ya kuvuruga CHADEMA Arusha? It will not cost CHADEMA anything kuangalia hii habari ya William kwa mawani!
 
- Ninaishi USA unasema nikumwa nikatibiwa Mwananyamala ndio nitakuwa sio mtoto wa fisadi? ha! ha! ha! ha!, well, naomba kuondoka jamani nilipita kidogo tu, maana naona hata hoja hamna ila kelele za mlango tu, kwaherini wakuu na mbarikiwe zaidi!

- Una maana na Mbowe ni zao la kifisadi sasa anaongozaje Chadema au anawazuga? Zitto alipoumwa majuzi alipelekwa Mwananyamala? Au naye ni zao la kifisadi? ha! ha! ha!


willy @ NYC, USA Le Mutuz!
siku ikifika utajuta, utameza haya maneno yako, chizi wewe, hivi kwa nini mna kiburi hivi, mnadhani haki ya kuishi mnayo nyinyi tu.
 
Unaelekea Boston kuwahi maboks!!maana nyie mkishakaa nje mnakuwa na viburi na vijeuri vya kijinga alafu mbaya zaidi hata maviongozi yetu yanapotembelea huko mnakuwa ma hypocrites wakubwa nyie,hamuwezi hata kushauri au ku criticize burning issues za tz....utafikiri huko mliko kwenu milele.........kama ni unafiki nyie wabongo mnaokaa nje haswa marekani ndio wanafiki wakubwa..........hamna msaada kwa nchi pamoja na privilleges mlizopata kwa kuwa huko tena kwa kupitia kwa wazazi wenu........yaani ninaposikiliza comments zenu napata kichefuchefu yaani.......haswa nyie mlioko marekani maana hata viongozi wetu wanababaikia sana marekani....wakati katika nchi ambako foreigners wanasota kwasasa ni marekani......hamtuambii chochote.......mimi binafsi najua hali halisi ya maisha ya usa.....tena sasa its worse.......nyie ni mna hasle tu kuliko hata baadhi yetu tz..........viburi mnavyokuwa navyo vitaisha mkirudi tz labda mpewe fadhila kama vile nape alivyofanyiwa na ndio sababu mnajipendekeza.......i know life mliyonayo......wengine mnaungaunga kazi usiku na mchana ili mmeki ends meet.....msijidai kabisa tena muwe wapole saana................mna udhi sana kwa comments zenu sometimes..........nasema hivi kwani nimekaa canada miaka kadhaa wakati nasoma McGill university na nimekuwa nikija usa hivyo najua mnavyoishi kwa kuungaunga......wewe will wahi boston kubeba maboks na ukirudi tz omba mungu umkute jk bado president ili akupe kazi kwa msaada wa baba yako kwani ndivyo nyie watoto wa wakubwa mnavyofanyiwa kila wakati........hii si hatred kwenu kwani ni hali halisi hivyo usijifanye sana kuwa eti wewe una uzalendo na tz......hamna kitu......hata dada yako mwele si daktari lakini jk kampa ukurugenzi wa NIMR.................tunafatilia hizi trends mzeee hivyo usifikiri kila mtu humu jf ni mbuda kama nyie mlivyo na mnavyofikiri..............................hypocrites wakubwa nyie....
 
Lini ulirudisha kadi ya CCM na ile Ya UVCC? weka picha apa vinginevyo endelea kubeba Mabox na kula Bugger .
- Mkuu ulizia vizuri kwa nini Lema alikataa kutoka jela, utajua sio kabisa mnayodanganyana hapa! ha! ha! JF hamna baba hapa unasimama mwenyewe kujibu hoja! ha! ha! ha! Siasa za baba hamna hapa ni taifa mbele na kwanza!

Le Mutuz Baharia! Willy @ NYC, USA.
 
- Haya people kwaherini jamani tutaonana tena Mungu akipenda maana ninaendesha kuelekea Boston, MBARIKIWE ANA JF JUU ZAIDI NA KUMKOMA NYANI!

Le Mutuz Baharia! [/QUOTE]


Unaelekea Boston kuwahi maboks!!maana nyie mkishakaa nje mnakuwa na viburi na vijeuri vya kijinga alafu mbaya zaidi hata maviongozi yetu yanapotembelea huko mnakuwa ma hypocrites wakubwa nyie,hamuwezi hata kushauri au ku criticize burning issues za tz....utafikiri huko mliko kwenu milele.........kama ni unafiki nyie wabongo mnaokaa nje haswa marekani ndio wanafiki wakubwa..........hamna msaada kwa nchi pamoja na privilleges mlizopata kwa kuwa huko tena kwa kupitia kwa wazazi wenu........yaani ninaposikiliza comments zenu napata kichefuchefu yaani.......haswa nyie mlioko marekani maana hata viongozi wetu wanababaikia sana marekani....wakati katika nchi ambako foreigners wanasota kwasasa ni marekani......hamtuambii chochote.......mimi binafsi najua hali halisi ya maisha ya usa.....tena sasa its worse.......nyie ni mna hasle tu kuliko hata baadhi yetu tz..........viburi mnavyokuwa navyo vitaisha mkirudi tz labda mpewe fadhila kama vile nape alivyofanyiwa na ndio sababu mnajipendekeza.......i know life mliyonayo......wengine mnaungaunga kazi usiku na mchana ili mmeki ends meet.....msijidai kabisa tena muwe wapole saana................mna udhi sana kwa comments zenu sometimes..........nasema hivi kwani nimekaa canada miaka kadhaa wakati nasoma McGill university na nimekuwa nikija usa hivyo najua mnavyoishi kwa kuungaunga......wewe will wahi boston kubeba maboks na ukirudi tz omba mungu umkute jk bado president ili akupe kazi kwa msaada wa baba yako kwani ndivyo nyie watoto wa wakubwa mnavyofanyiwa kila wakati........hii si hatred kwenu kwani ni hali halisi hivyo usijifanye sana kuwa eti wewe una uzalendo na tz......hamna kitu......hata dada yako mwele si daktari lakini jk kampa ukurugenzi wa NIMR.................tunafatilia hizi trends mzeee hivyo usifikiri kila mtu humu jf ni mbuda kama nyie mlivyo na mnavyofikiri..............................hypocrit es wakubwa nyie....
 
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!

Mkuu achana na sources za vijiweni nenda na data kamili na daima usikubali kuongozwa na hisia, tanguliza hekima. Watu mna heshima zenu but maneno na matendo yenu yanawaporomosha!
 
Kuna mtu anaweza kukanusha habari ya William Malecela kwa kutupa maelezo ya kina? Kabla ya kumshambulia William tujiulize hizi habari katoa wapi? na nini hasa kinaendelea Arusha? Usikute ccm baada ya kuwahadaa wale madiwani bado wanaendelea kutafuta namna ya kuvuruga CHADEMA Arusha? It will cost CHADEMA anything kuangalia hii habari ya William kwa mawani!
Huyu mtoto wa jumanne ni shost wake Nape, sasa hizi siasa za maji ya chooni kaziadopt kwa shosti wake, hakuna biashara kichaa kama iyo, kwanini CCM wanavuja ufyenze baada ya CDM kuipata Arusha??
Alafu kwa ushauri binafsi huyu mtoto wa Jumanne ametoa habari mithili ya Tambwe Hiza sizani kama kuna umuhimu wa kutusisitizia eti tujiulize habari hizi katolea wapi while wewe mwenyewe umeshakiri kuwa habari hii haina maelezo ya kina. Hakuna haja ya kujiuliza juu ya swala liliosemwa na nazi karoma kama hii.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom