halima mdee ni Wa kufungwa akanyee ndoo kama shekhe ponda
Kova "macho kumchuzi" ataweza nini kwa mwanasheria mahiri!! stupid!! Kazi yake kutumika tu. Atupatie yule mkenya mpigaji wa ulimboka chizi tu huyu!!Kamanda Kova amedai atamfikisha mahakamani muda mfupi ujao mwenyekiti wa BAWACHA,Mh. Halima Mdee.
Chanzo: Startv magazeti
My take;
UTII WA SHERIA BILA SHURUTI NI JAMBO JEMA
Kova "macho kumchuzi" ataweza nini kwa mwanasheria mahiri!! stupid!! Kazi yake kutumika tu. Atupatie yule mkenya mpigaji wa ulimboka chizi tu huyu!!
Kuna mda unajitahidi kua na akili kidogo mda mwingine kama umevurugwa vile tatizo nini au huko uliko kuna mawingu sana sasa yanakuathiri au yote hyo ni posho ya buk7.
Ndugu, polisi hawatoi go ahead wanataarifiwa tu kwa maandamano ya amani.. Hiyo ya go ahead inatokea tu kwa sababu ya watu ku-avoid fujo na polisi na kupata taarifa endapo njia watakazotumia tayari zina shughuli nyingine kama misafara ya viongozi n.k.
Mwanasheria gani aliyefeli kama Mdee! Tuambie ana GPA ya ngapi? We unadhani polisi ya leo ni kama ya zamani! Sasa hivi kuna vijana wasomi wazuri mno wa taaluma mbalimbali. We ngoja uone atakavyonyea debe segera! Sijui watamuweka peke yake, maana ni msagaji.
Shughuli imeanza wameshahojiwa na vyombo vya habari vya kimataifa!! subiri uone!!Kamanda Kova amedai atamfikisha mahakamani muda mfupi ujao mwenyekiti wa BAWACHA,Mh. Halima Mdee.
Chanzo: Startv magazeti
My take;
UTII WA SHERIA BILA SHURUTI NI JAMBO JEMA
Alimaliza lini upelelezi mtu mnafiki anashusha kiwango cha jeshi la polisi na kulifanya liwe na maadui wakubwa lini kesi imeshapelekwa mahakamani si alisema amewapata vijana tunakuuliza walipelekwa lini mahakamani na mahakama ipi acha upuuzi wa kubishia kila kitu
acha mchecheto, nyie si mmesema ni mwanasheria! Ngojea uone sasa, na nyie kwa kashfa zenu ndio mnamuharibia kabisaa!
Lini mliweza kuishinda cdm kwenye mambo yanayohusu sheria? Ndani ya cdm kuna wanasheria vichwa tena manguli wa sheria.
CHAMA CHA SIASA ni MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE , MY TAKE - MAANDAMANO YA KINANA HUYAONI ?
Hivi mkuu kova huna mambo mengine ya kufuatilia ? Kwanini usihangaike na majambazi wanaopora kwa kutumia pikipiki za boxer wanaotamba jiji zima ?
Yani aliyenyang'anywa haki, ndo huyo huyo anashtakiwa?
Sawa na mwizi akuibie halafu tena aende kukushtaki, daah!
Only in Tz!
Kinana anashiriki kujenga zahanati, maabara za shule, visima vya maji etc kwa ajili ya wananchi, CDM wanajenga nini humo barabarani?
Kuna jamaa kasema nyie ni vyakula vya wazee(bwabwa) wazee wenyewe mafisadi nimeamini leo!!In respect of rights and duties of individuals, kila haki ina mipaka yake. Muhuni kama Mdee hawezi tu kulala na kuamkia mabarabarani bila utaratibu, barabara ni mali ya watu wengi na hutumika kubeba wagonjwa, wazee, wenye kutafuta riziki zao sio kwa maandamano yasiyo na kikomo wala tija! Kamata weka ndani muhuni huyo, nchi haiachwi kuendeshwa kihuni na wanywa viroba na wagonga vijiti vya Arachuga kama Mdee.