mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
Kwenda na wakati kunahitaji utafiti wa hicho unachotaka kukifanya ambacho hapo awali ulikuwa hukikubali ama hukifanyi.
Sasa nyie magamba mmekurupuka tu kuvamia vitu msivyoviju na hamkuwahi kuvifanyia utafiti mwisho wake mnavifanya kwa akili ndogo na kuviharibu.
Mlipinga kuwa nchi haihitaji katiba mpya, ghafla mwenyekiti wenu akakurupuka kuanzisha mchakato mwisho wake nchi imegawanyika mmepitisha katiba mpyaya ccm badala ya katiba ya wananchi.
Mlipinga kusomesha bure watoto wa kitanzania lakini sasa mmekurupukia hoja msiyoifanyia utafiti nayo itawashinda katika utekelezaji.
Mlipinga wananchi kuwezeshwa kujenga makazi bora kwa kupunguza kodi na ushuru katika vifaa vya ujenzi ili wananchi wavinunu kwa bei ya chini lakini sasa mmeikurupukia hoja hiyo bila utafiti na kutaka kui-implemennt matokeo yake mtauvuruga uchumi wa nchi kwakuwa hamjui mnachotakiwa kufanya ili kuweka balancing katika kuwawezesha wananchi na kutoathiri mapato ya serikali.
Wazee wa kukurupuka mtaendelea kukurupuka tu na kucopy vitu msivyovijua na wala msivyovifanyia utafiti na matokeo yake mtaishia kupata matokeo mabaya sasa(Bad Results Now-BRN).
wewe ni kundi la zito huna uzalendo wowote kwa nchi. laana ya usaliti inakutafuna
cc: kitila mkumbo