İ like this one,lazıma atatobolewa tu huyo it is just a matter of time!mara nyingi majina huwa yanasadifu matukio katika maisha
mfano aliekuwa kamanda wa polisi DSM enzi hizo alikuwa anaitwa MAJI akaenda na maji kwa kutimuliwa
DR kafumu alifumuliwa,
kamuhanda kichaga cha rombo ni kumtoboa mtu kwa mkuki au mshale sasa aangalie asije akajitoboa mwenyewe kwa uongo wake
video ziko wazi,picha ziko wazi ukweli anaujua moyoni kuwa anajitetea kulinda wakubwa
Damu ya mwangosi lazima itamuhanda tu(kumtoboa popopote atakapokuwa)