Kuna maswali ningependa kujua kuhusu Kamuhanga,
1.0 Hivi anafanya kazi kwa mkataba au bado yupo under 60yrs ndani ya Jeshi la Polisi.
2.0 Elimu yake au CV yake general kwa mwenye kumjua zaidi????
Kuna maswali ningependa kujua kuhusu Kamuhanga,
1.0 Hivi anafanya kazi kwa mkataba au bado yupo under 60yrs ndani ya Jeshi la Polisi.
2.0 Elimu yake au CV yake general kwa mwenye kumjua zaidi????
Anatafuta huruma kwa watu,amefanya kazi kizembe na kwa sifa,ingekuwa ni mtoto wake angeweza kumlipua kiasi kile?Ni mnafiki tu huyu Mzee!Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo, akiojiwa kamanda kamuhunda kuhusu kifo cha mwangosi alisema "Kazi yetu ni kutekeleza majukumu na maagizo tu na mimi niliyafanya hayo yote."
Unaona, ngoma hiyo ameshaanza kuwatumia salamu waliomtuma ki aina kwamba alikuwa anatekeleza maagizo yao waliomtuma, hii inaweza kutoa jawabu la kwanini JK amekaa mbali sana na issue Mwangosi hasa kuhusiana na kitendo chake cha kukataakatakata kuunda tume huru ya uchunguzi.
Kkuhusu mengine amezungumzia kuwa gari lake lilikuwa mbali na eneo la tukio na kwamba polisi ilibidi watumie nguvu kujitetea kwani walirushiwa mawe na raia.
Yaani sijui Kamuhanda kama anajua kuwa kuna kitu kinaitwa video ambayo haisemi uongo pengine hajui kuwa tukio zima liko kwny youtube hata kipofu anaona kuwa hakuna jiwe lilorushwa na raia.
Sijui huyu Kamuhanda ana roho ya namna gani? Alivyoshuhudia Mwangosi akichanwa chanwa na kulundikwa mithili ya mbwa aliyegongwa na gari barabarani na bado anabisha kilichotokea!!! IDDI AMIN Dada alikuwa bora kuliko Huyu KAMUHANDAKamuhanda ameshachanganyikiwa naamini mzimu wa mwangosi unamtokea usiku na hapati usingizi, kwa wataalamu wa saikolojia wanelewa Muda si mrefu mzee Huyu ataanza kutembea bila viatu, Nguo na mwisho atawehuka kabisa, malipo ni hapa hapa duniani, wapi Liberatus .