dedam
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 845
- 166
Kwa muda mrefu sasa tangu uchaguzi wa vyama vyingi uanze mwaka 1995 wana jimbo la Kibaha Vijijini hawajapata kamanda makini wa kuweza kuwakilisha maoni yao, mawazo yao, matatizo yao,bungeni lakini sasa Wanakibaha wanatajiwa kumpata kijana machachari, msomi, mwenye uwezo wa kujenga hoja,mzawa wa Kibaha Vijijini si mwingine bali ni kamanda mwanasheria JOHN MHOZYA.
Njoo tarehe 19.1.2013 siku ya Jumamosi viwanja vya stendi ya Mzenga Mlandizi umuone kijana huyu akiunguruma kwa mara ya kwanza viwanja vya nyumbani akiwa na makamanda wengine wa CHADEMA.
KARIBUNI SANA MAKAMANDA MLANDIZI