Kijana JOHN MHOZYA ni kijana makini. Nilimfahamu kijana huyu tangu mwaka 2000 tukiwa tunasoma wote pale Tabora Shule ya Wavulana (Tabora Boys' Sec School) yeye akiwa anachukua HGL (History, Geograpy and Language) nami nikiwa nachukua PCM.
Ni kijana makini, mpambanaji na anayesimamia Ukweli daima pasipo kuogopa vitisho.
Alisimamia maswala mengi ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa Bomba la Maji kutokea National Housing baada ya kubaini kuwa Wanafunzi tulikuwa tunatumia muda mwingi kwenda kutafuta maji kule "TUKUTUKU' kwenye visima badala ya kujisomea.
Muungeni mkono muone alivyo na mtazamo wa maendeleo..
Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzz Power!11