Kamanda John D. Pallangyo kusimikwa kesho Arumeru Mashariki

Kamanda John D. Pallangyo kusimikwa kesho Arumeru Mashariki

Kamanda NI BRAND YA CHADEMA, C C M NAO WAMEANZA KUJIITA MAKAMANDA, DAH HILI NENO.POLENI SANA LABDA UMEJISAHAU BQAND YA C C M NI MAGAMBA.SEMA HV ,'KESHO LINASIKWA GAMBA....''!

Usipende kukariri wewe Ccm ilianza kabla ya chadema hilo jina ni la muda mrefu.
 
Mkuu laki si Pesa , kamanda wetu wameru wamesema hakuna.cha nasary tena Meru wamepata chaguo lao na wamemsubiri sana John kwa muda mrefu wanampenda sana nenda maeneo yote Samaria, ngabobo, Maji ya chai, kila pahala ni jina la John Daniel Pallangyo linatajwa .

aaaaah aaaaah!! waalaaahi ukiwa na litoto jiongo ka hili unachapa viboko kutwa maratatu. Maji ya chai!!! hakuna hata harufu ya ccm huko!!!
Duh! kujitoa ufahamu ka nape lazima uwe na uchizi!!!
 
'KAMANDA' wa Wilaya wa 'VIJANA' 'MZEE WETU' John . . . .
mmaranguoriginal. Ushapata hata spice kidogo leo
 
Last edited by a moderator:
Nyie makahaba mbona mnaongea maujinga mkidhani na sisi ni wajinga kama nyinyi? Fedha za mfuko wa jimbo wabunge hawawi masignatories. Wabunge wana uwezo wa ku allocate fedha hizo tu na kusimamia lkn hawawezi kuzitoa bank hata siku moja! Fedha za mfuko wa jimbo ni fedha za umma hakuna mkurugenzi anaweza kutoa fedha hizo akampa mbunge eti akafanyie sherehe . acheni uongo watoto wa kiume mtaolewa mapema asubuhi! Wajinga kabisa wanaccm wote mnaotunga propaganda za kiwango cha chin kiasi hiki
Ni kweli mkuu, nasary ametumia mfuko Wa jimbo Pesa yote kufanyia harusi ya kwake na shemeji yake , na kujenga ghorofa kule momela wanameru wamechukizwa sana na kitendo hicho cha kihuni cha nasary.
 
Huyu nae atakuwepo ili tumtaarifu mkuu MSALANI aje ajipoze moyo kidogo?
ImageUploadedByJamiiForums1418986178.998448.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha nimecheka sana. Napata hapa kwa donii njoo mkuu.

Mimi nilishacheka mpaka nikakaa chini, MAKAMANDA wenu wako vizuri ndiyo maana Prof anapendaga kuongea nao.

Ngoja nimwambie Donii uzungushiwe round tatu hapo kabla sijaja
 
Usipende kukariri wewe Ccm ilianza kabla ya chadema hilo jina ni la muda mrefu.


Tangu lini au zamani ipi ukasikia CCM wanajitambua au wanatambuliwa kama makamanda?CCM ni the Greens,Wazee wa Lumumba,Magamba au Mafisadi.Nadhani mwenye kukariri ni wewe!!NENDO KOTE DUNIANI(SIO TZ) CDM NDO WANAOTAMBULIKA KAMA MAKAMANDA NA MAVAZI YAO NI REFLECTION YA UKWELI HUU.
 
Hilo jimbo ni Jepesi sana, jipangeni vizuri wakuu ili lirudi.
 
Ndoto za mchana unaota wanameru wanampenda sana John Daniel Pallangyo wanataka awe mbunge wao mwakani wamemchoka nasary.

Wanampenda sana hata mkeo na ma'ko wanamgombania sana!! Ila kumtoa Nassary utakuwa unaota ndoto za mchana! Mlisema hata Washili hawamtaki Nassary matokeo yake akalibwaga lile zezeta!!
 
Ajui ata majina ya chamachake mi ntajibu nini zaidi yay 2304+>,£+,>()&+&
 
Watu wa Meru mlinifurahisha sana mlipofunga ofisi ya chadema kata ya maji ya chai. mwanzo mzuri sana!!!
 
Tangu lini au zamani ipi ukasikia CCM wanajitambua au wanatambuliwa kama makamanda?CCM ni the Greens,Wazee wa Lumumba,Magamba au Mafisadi.Nadhani mwenye kukariri ni wewe!!NENDO KOTE DUNIANI(SIO TZ) CDM NDO WANAOTAMBULIKA KAMA MAKAMANDA NA MAVAZI YAO NI REFLECTION YA UKWELI HUU.

mkuu huku magambani tuna "MAKADA" maana MAKAMANDA WA UKWELI WAKO CHADEMA!
 
Back
Top Bottom