NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,139
Vip tena yule Haoi Sumari Ndo mmempotezea kabisa!
Kamalizaje wewe ngedere Wa chadema.
John Daniel Pallangyo ndiyo kiboko ya nassary hatobozi ubunge mwakani , chadema mtausikia radioni
Usipende kukariri wewe Ccm ilianza kabla ya chadema hilo jina ni la muda mrefu.
Nepi mbichi naye anajiita kamanda!Hahaha na ccm mmeanza kuitana makamanda?
Wadau nawasalimu sana.
Mjumbe Wa Halmashauri kuu ya Ccm Wilaya na kada mwenzangu Wa Ccm kamanda John D. Pallangyo anatarajiwa kusimikwa kesho tarehe 20.12.2014 kuanzia majira ya SAA Tatu asubuhi katika viwanja vya Ngarasero katika Wilaya ya Meru mashariki.
Mosi John D Pallangyo atasimishwa kama kamanda Wa wilaya Vijana Wa Uvccm ambapo pamoja na hayo watahudhuria baadhi ya viongozi mbalimbali Wa serikali na makada Wa mkoa Wa arusha.
Tunaomba vijana wote Wa Meru mashariki kuja kumuona kamanda wenu mpya Wa wilaya Mzee wetu John Daniel Pallangyo.
Nawasilisha.
Ndoto za mchana unaota wanameru wanampenda sana John Daniel Pallangyo wanataka awe mbunge wao mwakani wamemchoka nasary.
hao wameru wote ulikutana nao wapi?Mkuu laki si Pesa , kamanda wetu wameru wamesema hakuna.cha nasary tena Meru wamepata chaguo lao na wamemsubiri sana John kwa muda mrefu wanampenda sana nenda maeneo yote Samaria, ngabobo, Maji ya chai, kila pahala ni jina la John Daniel Pallangyo linatajwa .
Kamalizaje wewe ngedere Wa chadema.
John Daniel Pallangyo ndiyo kiboko ya nassary hatobozi ubunge mwakani , chadema mtausikia radioni
Wadau nawasalimu sana.
Mjumbe Wa Halmashauri kuu ya Ccm Wilaya na kada mwenzangu Wa Ccm kamanda John D. Pallangyo anatarajiwa kusimikwa kesho tarehe 20.12.2014 kuanzia majira ya SAA Tatu asubuhi katika viwanja vya Ngarasero katika Wilaya ya Meru mashariki.
Mosi John D Pallangyo atasimishwa kama kamanda Wa wilaya Vijana Wa Uvccm ambapo pamoja na hayo watahudhuria baadhi ya viongozi mbalimbali Wa serikali na makada Wa mkoa Wa arusha.
Tunaomba vijana wote Wa Meru mashariki kuja kumuona kamanda wenu mpya Wa wilaya Mzee wetu John Daniel Pallangyo.
Nawasilisha.
Kamalizaje wewe ngedere Wa chadema.
John Daniel Pallangyo ndiyo kiboko ya nassary hatobozi ubunge mwakani , chadema mtausikia radioni
Ndoto za mchana unaota wanameru wanampenda sana John Daniel Pallangyo wanataka awe mbunge wao mwakani wamemchoka nasary.
Mkuu kauli zako zinajichanganya kweli kweli hivi JD akushiriki kwenye kampeni za serikali za mtaa? Hiyo study ya kujua kuwa wameru wanampenda JD imefanyika lini? Kwalipi Hasa? Nyie kuleni tu fedha zake.
hao wameru wote ulikutana nao wapi?
Amini sasa kuwa wanameru wanampenda sana John D ndiyo chaguo.