Kamanda John D. Pallangyo kusimikwa kesho Arumeru Mashariki

Kamanda John D. Pallangyo kusimikwa kesho Arumeru Mashariki

Mkuu nimezunguka vijiii vingi wananchi wamesema John d ndiyo chaguo wanalotaka kwa muda mrefu sana.

Mkuu ebu twende kwa facts:
1. Hivyo vijiji ni vipi?
2. Na ni % ngapi ya vijiji vinavyofanya jimbo la Arumeru Mashariki?
3. Na je matokeo kwenye hivyo vijiji yapoje?

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom