Anajulikana, ni yele aliyekabidhiwa silaha akawe mstari wa mbele kumshambulia adui wa nchi.
NIMEKUPENDA BURE BUREDah hivi na wewe ni great thinker?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ningekuwa mod ningekufukuza jf
invest what you are willing to loose
Dah hivi na wewe ni great thinker?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ningekuwa mod ningekufukuza jf
invest what you are willing to loose
kaa ukijua pia wapo SLEEPER AGENT ambao tumewasomesha kwa kodi zetu huko Ulaya hawa huwa reserve wa mataifa ya Ulaya muda wa kutumika ukifika huwezi kuamini kuwa ndiye rudi darasani wala usitangulize hasira kwenye mchezo huu mchafuDah hivi na wewe ni great thinker?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ningekuwa mod ningekufukuza jf
invest what you are willing to loose
Kama hata wewe umelipwa kwa hii post CCM hasa Pole pole haitendei haki ruzuku ya chamasalamu jukwaa
wakati taifa likiwa katika harakati za kupambana na mabepari ili kunusuru rasilimali za nchi makamanda tuliowaamini muda mrefu tukawatanguliza ili waongoze vita Leo wameungana na kushirikiana na adui wakitanguliza maslahi ya kisiasa na maslahi binafsi Kama ni hivyo Hawa ni sawa na kamanda anayeuza ramani vita kwa adui usalama WA nchi yake unakuwa mashakani na akigundulika huyo ndo anakuwa Adui NAMBA MOJA wa nchi na Huyo ndo MSALITI
(SHAME ON THEM)
Tumia ubongo kufikiria hivi suala la mtu kupata haki yake mahakamani ni waliambiwa na mtu? Kwamba Tanzania ina order ya ndege Canada ilikuwa ni siri mpaka mtu awaambie? Acheni kutumia vichwa vya watu wengine kufikiria, ni wapi Nchi imesalitiwa?Halafu watu wengine wanawaunga mkono na kushangilia. Ni aibu kwa kamanda aliyetegemewa kuongoza mashambulizi kukeuka kuwa kuwadi wa adui. Anatoa hadi siri za ndani za kiintelijensia.
Kwa staili hii hatutafika. Tutamkumbuka sana Dr. Slaa.
ukweli unabaki palepale, uzalendo sifuri.Tumia ubongo kufikiria hivi suala la mtu kupata haki yake mahakamani ni waliambiwa na mtu? Kwamba Tanzania ina order ya ndege Canada ilikuwa ni siri mpaka mtu awaambie? Acheni kutumia vichwa vya watu wengine kufikiria, ni wapi Nchi imesalitiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umekunywa viroba au pombe za kienyeji?? Unaandika kama hadithi za babu yangu nilipokuwa ndogo akiniambia ukiona jua na mvua ujuwe simba anazaa.kaa ukijua pia wapo SLEEPER AGENT ambao tumewasomesha kwa kodi zetu huko Ulaya hawa huwa reserve wa mataifa ya Ulaya muda wa kutumika ukifika huwezi kuamini kuwa ndiye rudi darasani wala usitangulize hasira kwenye mchezo huu mchafu
salamu jukwaa
wakati taifa likiwa katika harakati za kupambana na mabepari ili kunusuru rasilimali za nchi makamanda tuliowaamini muda mrefu tukawatanguliza ili waongoze vita Leo wameungana na kushirikiana na adui wakitanguliza maslahi ya kisiasa na maslahi binafsi Kama ni hivyo Hawa ni sawa na kamanda anayeuza ramani vita kwa adui usalama WA nchi yake unakuwa mashakani na akigundulika huyo ndo anakuwa Adui NAMBA MOJA wa nchi na Huyo ndo MSALITI
(SHAME ON THEM)