Kama yeye

Kama yeye

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,116
attachment.php
 

Attachments

  • 1416638778422.jpg
    1416638778422.jpg
    6.5 KB · Views: 1,200
Wewe mshana jr nani kakupa ruhusa ya kumpiga picha mke wangu na kuja kumuanika hapa......???
 
Last edited by a moderator:
soo soo cute ila ajanifikia mimi aiseee[/QUOTE mshana jr
kaniambia mtani wewe ni wa kawaida sana.....zinazokubeba ni vikalolaiti na vimaji vya bomba unavyooga hapo kimara suka.......kwa maana hiyo huwezi kusimama na SHERII wangu mtoto natural colour......na vidimpo vya kizushi...hahaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Apana siendagi mimi, wataka unipeleke huko unyagoni?
Alafu ivi iko mkoa gani maana nasikiaga unyagoni kuna maghorofa na mataa lol
Nanihii....haisuguliwi bali inapanguswa kiufundi na kwa umakini wa hali ya juu sana....au hukwenda unyagoni wewe....
 
Back
Top Bottom