Kama wewe utafanyaje....????

anamaliza kukosea msg hiyo ...then anakwambia dear tukalale...ana kuhug....ndomana watu wanaua mmmhh
poleeee kwa yalio kutokeaaa yani umeletaaa msg kama ilivyoo....ilaa waswahili wanasemaaa wako akiwa kwako?saa kama unalala nae pigaa kimya
 
Umekaa na mpenzi wako sebuleni mmepumzika usiku...gafla unamuona anachart na hauna tym naye kwa anachokifanya gafla unasikia mlio wa msg kwenye simu yako,Unafungua msg na kusoma unakuta imetoka kwake-
ikisema
"AS i tld we were not serious,am urz u dont av 2 wor,ningekuwa nakudanganya ucngeweza niona tena kwa yaliyotokea.NAKUPENDA"

lakini bila kugundua amekosea namba anaendelea kuchart tu.UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI.


Mimi, ningejua sina changu. Ningejibembeleza moyoni mwangu na kutuliza hasira maana unaweza kufanya jambo utakalojutia usipojua kujibembeleza na kukubali hali. Ningemshukuru Mungu kwa kunijulisha jambo hilo na kumuomba ujasiri. Then, ningeweka wazi kila kitu na kumuomba tuagane kwa usalama kisha ningechapa lapa kwa amani.
 
dah yani mapenzi hayana maana...muda si mrefu kapga simu kwa kweli cjapokea zaidi ya Mara 11 anapga sipkei...bdo natafakar uamuzi upi wa kuamua
 
Mimi ningemtumia text nayeye "Umekosea kutuma hyo sms, umeituma kwangu badala ya kwake" then ningemfowadia na txt yake alonitumia, afu namuuliza "vp cwty nikuongezee kahawa au tukalale maana usiku umekuwa mkubwa".
 
Na wewe unahidai umekosea unamtumia... " Hivi jana kwanini ulinipa style moja tuu ya kifo cha mende halafu tena ukawa haukati kabisa kiuno, yaani ulikua unaniboa switie,hope next Friday hautafanya hivyo tena. Gudnait, I love u..
 
Mie ningejaribu kutuma sms kwake kama nami pia machat na mwingine zaidi yake
ageiona na kusituka hapo ndipo mambo yagekua hazarani.
 
Fatilia kwa ukaribu nyendo zake,alafu ukuwahi kumpa vitisho kam ukinote anakucheat? maanake yupo free san mkuu..! mfano shemejio niamempa ufree nipo tayr kujifuz n kukosolewa pia sipo kamilifu ila yey ndio atakayenifanya niwe kamilifuu.! na kam ikitokea akapata mtu mwngine aniambie tu tuachane kwa amani, ila nikinote kuna kind of cheating nitamfanyia kitu ambacho dunia hitasimama siku hiyo na yeye kanipa yake. Hiyo inasaidia kuwa na msimamo katika uhusiono na kupunguza ujinga katika uhusiano.
 
ningeikop na kuipaste jf hu watu wanachangia nakuwa nawapa updates nimeshamtoa meno mang'ap
 
Kwa sasa jifunze kujipenda mwenyewe then wengine .Usije ukajiumiza bure ukapata matatizo ya kiafya bora kujifanya hujaiona then ukiwa umetulia baaba ya kutafakari chukua hatua
 
Umekaa na mpenzi wako sebuleni mmepumzika usiku...gafla unamuona anachart na hauna tym naye kwa anachokifanya gafla unasikia mlio wa msg kwenye simu yako,Unafungua msg na kusoma unakuta imetoka kwake-
ikisema
"AS i tld we were not serious,am urz u dont av 2 wor,ningekuwa nakudanganya ucngeweza niona tena kwa yaliyotokea.NAKUPENDA"

lakini bila kugundua amekosea namba anaendelea kuchart tu.UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI.

Namchapa vibao ama ngumi za machoni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom