Kama wewe sio Muha wa Kigoma, basi usithubutu kuoa mwanamke Muha

Kama we Muhaya wala usiwaze sana, wewe kwenye hiyi Muhaya kata ya kwenye Muhaya ukikata ya inabaki muha so inakuwa ngoma dro.
 
Acheni Kutusema Waha....Pumbavu kabsa, Waha ni kabila Takatifu na Lililotukuka.

Na huyo Mtoa mada Hajalazimishwa kuoa Muha, Kama mmeshindwana Kaoe kijijini kwenu huko.
 
Sina cha kusema zaidi ya ukitaka amani zaidi oa kwenu tena kwenu kwa geographical proximity sio kwenu in general
 
1. Mnatuzuia wachaga
2. Wahaya mnadai wana kazi nyingi
3. Wanyaturu huruma
4. Wambulu/huruma
5. Warangi huruma
6. Makonde huruma
7. Wapare huruma
8. Tanga nzima huruma

Leo nao waha, mazee sasa wanawake tuoe wa wapi?
Ukifata mada za wana jf hutaoa. Wao kila kitu ni kibaya hawana jema
 
Wewe kweli unawajua Waha vizuri sana.Mimi ninachojua ni kwamba..hakuna kitu ambacho mwanamke wa Kiha anakitamani maishani mwake kama kuolewa na mwanaume wa kabila tofauti na la Muha(Wanatuita wakabila).
Mleta mada amesema kwamba Waha kwa Waha ndo wanawezana,jibu ni kwamba Mwanamke wa Kiha anaweza kudumu katika ndoa akiolewa na Mwanaume wa kabila jingine tofauti na MUha.
Wakioana wao kwa wao huwa ni vita ,ubabe,kushindana na kudharauliana kwa kwenda mbele.Kuhusu hizo tabia za visasi,roho mbaya,kuwekeana sumu na ubishi...sikatai,hizo ni tabia zao.
Historia inaanzia mbali kutoka kwa chifu wao aliyekuwa akiitwa Mwami Ntale(alikuwa mwanamke).Kutokana na ujeuri wa huyu mama,ilishindikana kabisa kuweza kuishi na mume.Kwahiyo hata wanawake wa kabila hili ni wanawake wasiopenda kujishusha mbele ya mwanaume japokuwa kama nilivyosema,wakiolewa na mwanaume wa kuja,angalau wanatulia.
Hizi tabia wanazo. Kuna mmoja aliolewa na ndugu yangu, sio kabisa. Walikuja kuachana vibaya. Mwanamke kutwa kwa waganga kumharibia x mume wake . Lakini alichokipata ...
 
Mnafanya fallacy, yaani tabia ya mtu mmoja mnawabikizia kundi au kabila zima
 
Kama mada inavyojieleza

Kama wewe sio Muha wa Kigoma basi usithubutu kuoa mwanamke Muha.

Waha wanawezana wenyewe kwa wenyewe kutokana na tabia zao ambazo kwa mwanaume kutoka kabila lingine ambaye amelelewa mazingira ya kistaarabu zitamshinda.

Wanawake wa kiha ni wabishi sana

Wajuaji sana

Wachafu mno hasa mazingira ya nyumba utahisi unaishi na kichaa jinsi wanavyoweka mazingira ya nyumba katika hali ya uchafu.

Wanaongea mno ukimpa chance ya kuongea umekwisha .

Wanaendekeza imani za kishirikina

Wana roho katili/mbaya(hii wamerithi kwenye asili yao Burundi)

Kuna sifa kwamba wanawake wa kiha wanavumilia kwenye ndoa, uvumilivu huo ni kwa waha wenzao kwa sababu wanajuana tabia zao za ovyo.

Usithubutu kuoa Kigoma.
Ukweli mchungu 😀😀
 
Kumbe na waha.
Mimi nilikua najua wamakonde ndio no go area peke yake.
 
Wanawake pekee Tanzania nzima ambao, Kuchepuka kwao ni msamiati.

Yote ulosema wanaweza kua nayo,

Ila ni Wanawake Wavumilivu, wachapa kazi na hawachepuki kama Hawa wengine.
 
Mimi sio muha na sijaoa muha ila ninafanya kazi kigoma! Hayo ulioyasema yanaweza kuwa kweli au sio kweli! Kimsingi mkoa wa kigoma unawaha wa aina tatu ambao ni-

1. Waha wa kasulu kuelekea hadi business =wanyahelu

Sifa zao
  • Wana jiamini sana, hawapendi kupelekeshwa kabisa.
  • Niwaongeaji sana
  • Wanakarama ya utafutaji sana (biashara)
  • wanaroho ya ukarimu sana
  • Imani za kishirikina ni jade yao.
  • Wana kadharau kakitusi.

2.Waha wenye chimbuko la wilaya kibondo (wahambwe).

  • Niwabishi sana
  • wachapa kazi
  • kwa wanawake wanatabia ya unyenyevu wa kupiga hadi magoti.
  • wanawivu sana hawapendi uwashinde kimaendeleo.
  • Uchawi ndio nyumbani kwao.
  • Wanaroho mbaya sana watunza kisasi sana unaweza kuwakosea leo wakakusakama hata miaka kumi hadi wahakikishe wanalipiza kisasi.
  • Niwanafiki sana anaweza sema ndio kumbe moyoni ni hapana.
  • Niwavumilivu sana.
  • wanapenda kuwekeana sumu kwenye misosi hasa kama anabifu na wewe, anaweza kukusetia sumu unakula leo inakuja kukuua baada ya miezi sita.
Nk

3. Waha wenye asili ya kakonko( WAYUNGU)
Hawa sifa zao hazitofautiani na waha wa
kibondo ( wahambwe).

Note!! Hizo ni tabia za jumla lakini kama ilivyo hulka ya binadamu wengine, pia nao wanatabia tofautitofauti kulingana na malezi pamoja na muingiliano na watu wa jamii zingine.
Bado Uvinza mkuu hujaizungumzia?
 
Kigoma naamini imegawanyika,

🔷 Kuna maeneo yalitembelewa na Waeneza dini wa Kiarabu

🔷Kuna maeneo yalitembelewa na Waeneza dini wa Kizungu

Naomba kujua kama wakoloni hao walioacha legacy yoyote inayo influence tabia ya maeneo hayo kwa Sasa iwe mbaya au njema
 
Back
Top Bottom