Kama wewe ni player usifanye hili kosa

nosspass,

Tena huko kwenye sheria ndipo kuzuri.

Huku mitaani watu mnatishana na kuoneana na kwa asiyejua sheria ndiye anaumizwa kama huyu jamaa.

Hapo mtoa mada kasema dada ni msomi, kwa maana nyingine, huyo jamaa hana elimu kubwa kama bi Dada so mdada anatumia elimu yake kumnyanyasa mshikaji, na jamaa naye kanywea
 
Mfano hapo sheria inamlindaje??

Hapo kisheria mwanaume ana jukumu la kumpeleka hospitali anayoimudu mwanaume, na kama ni matumizi atapewa basic needs chakula, malazi, na mavazi.

Siyo kama sasa hivi ambapo mwanamke anaibuka ghafla na kudai anaumwa na anataka hiki Mara kile na bila uthibitisho na mpangilio.

Halafu kingine, mwanaume akishindwa kuhudumia familia siyo kosa la jinai, isipokuwa yeye mwanaume anaweza kueleza kuwa uwezo umepungua, na hivyo jukumu linahamia kwa mwanamke, kama mwanamke hawezi linahamia kwa ndugu.

Ni ngumu sana ukute muda wote mume, mke na ndugu hawana uwezo wa kutoa matunzo kwa mjamzito au mzazi.

Sheria huwa ina balance kihaki na siyo kama mtaani kwenye uonevu.

Mfano, mtaani wanasema ukiishi na mwanamke miezi 6 anakuwa mkeo, wakati kifungu cha 160 cha Sheria ya Ndoa kinasema 'mwanamke na mwanaume wakiishi pamoja miaka miwili wanahesabika na kudhaniwa kuwa ni mke na mume hadi pale itakopothibitika vinginevyo'.

Utaona hapo mtaani after 6 months unaambiwa huyo ni mkeo ila sheria inaweka dhana ya ndoa tena after 2 years
 
Kumbe mimba mi nakajua labda waya huyo kaka ako anaweza akawa ana element za kidada kuendeshwa hvyo na mwanamke
 
Sheria gani itakayomfanya asilee mimba? Daktari akihongwa akithibitisha kwamba kweli ni dada anaumwa hivyo jamaa agharamie either matibabu ya kila week au bedrest unadhani atapinga??
Sheria kuhusu matunzo inaangalia na kipato husika na sio kuchomoa fedha kama huyo mama kijacho anavyofanya, watamuwekea kima fulani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom