Kama wewe ni mfuatiliaji wa masuala ya sanaa naomba toa mawazo yako hapa

Xhija jilatu

Member
Feb 4, 2017
24
26
Mimi hapa mpenzi wa sanaa hasa maigizo na ngependa hata kwenda kusoma chuo cha sanaa. Kama unajua course ambazo ni nzuri ili nitimize ndoto zangu hebu nakuomba basi brother&sister & mather and dady nieleweshe maswala haya, ahsante.
 
Back
Top Bottom