Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,085
Wewe unabisha kwa sababu mind yako umeipeleka kwenye kubisha. Kipi rahisi, kupiga simu au kubroadcast wanafunzi wote watoke mashuleni au kugamble na mgonjwa ambaye chances za kuzinduka only God knows.
Anyway enjoy your arguments. I am out of here.
Damu nzito kuliko maji mkuu.
Dakika 45? Mimi Ningewashauri hao wana usalama wawaondoshe watu wote ambao wapo eneo ambalo inasemekana kuna hilo bomu. Wataweza kuzitumia hizo dakika kuwaondosha bila mathara kuwapata watu hao. Wala hakuna haja ya kumfufua huyo mtu kwa haraka.
Ingekuwa na kauzito kama shule hiyo ndo kanasoma katoto kako afu kamoja then mkeo alishathibitishwa kuwa hawezi kuzaa tena! Mmmmh! Majanga!!
Nmfanyia operation mtuhumiwa wa bomu aseme wapi amelitega
am sorry mume wangu kipenzi atasubiri......
Moja,kinachotkiwa hapa ni uamuzi sahihi na sio kingine
Pili,tangu aseme kuwa bomu litalipuka baada ya dakika 45 hadi amefikishwa hospital tayari muda unakwenda,utaweza kuwaondoa watoto kwenye shule zote kwa muda huo?
Inaonekana unaogopa utakachokiamua hapa binti!
Kwenye kesi hii, nivigumu kuokoa hao watoto hata kama muusika akisema shule, mfano within 45 mnts akawa hajaamka, au je akiamka 10 mts before the time? Itachukua muda gani kufika katika shule atakayo taja? Muda wa kutegua bom? Hata angetoa jibu la mahali wakati uleule isingesaidia kwa 45 mnts kuweza kufika na kutegua hilo bom( kutegemeana na umbali alipo kamatwa na umbali wa hospital alopelekwa)
Binafsi ntamtibu gaidi kwanza ili niokoe roho za watoto walio wengi....maana matokeo ya kumtibu mume na kumwacha jambazi unaweza kupoteza kazi yako kwani utaonekana unafanya kazi kwa kuongozwa na hisia hata jamii haiwezi kukuelewa hata kidogo....wacha mmoja aende wengi wapone
mimi nitahakikisha wakati wa kampeni nawahamasisha wananchi wasiwapigie kura ma-CCM. Haiwezekani daktari bingwa akawa mmoja tu huu ni udhaifu mkubwa sana wa uongozi wa Ma-CCM.