Kama we ni wa aina hii....... Unanikera sana.

Hivi kuna watu wenye majungu kama wana sisi emu,naona hao ndio watakuwa wanakukera sana au na wewe ni mmoja wao?

hili sio jukwaa la siasa. Nimekimbia kule ili nije huku kujiliwaza. Funga domo lako kabla sijakuitia mwizi.
 
Nina swali wajameni.... Ukiona thread inakupa raha kusoma kama hii ndo kuchakachua kwenyewe?? Maana hapa tu ipo robo the team i.e Husny, Klorokwini, AshaDii, MTM na twawakilisha....lol... after all its chit chat.
 
nini maana ya kuchakachua?
 
Nina swali wajameni.... Ukiona thread inakupa raha kusoma kama hii ndo kuchakachua kwenyewe?? Maana hapa tu ipo robo the team i.e Husny, Klorokwini, AshaDii, MTM na twawakilisha....lol... after all its chit chat.

yaani humu kuchakachua ndio mwake mwake. hebu mwamshe mjomba akuje pande hizi.
 
hiyo jiografia uliyosoma ni ya zamani. Hilo bara lime expire siku nyingi.

hivyo eeh, tena naskia lile bara liliona linabanwa banwa likaamua kusepa kumbe lilienda kuexpaya mbele ya safari.
 
Nina swali wajameni.... Ukiona thread inakupa raha kusoma kama hii ndo kuchakachua kwenyewe?? Maana hapa tu ipo robo the team i.e Husny, Klorokwini, AshaDii, MTM na twawakilisha....lol... after all its chit chat.
Hivi unazani JF tukigoma sisi wanaotuita wachakachuzi hakyanani kwa siku nzima JF kutakuwa kunapostiwa post 20 tu tena ule muda wa ofisini. Usiku atabaki invisible na PAW wanaedit sheria tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom