Kama upo Arusha

Kwani ulisikia Arusha ni ya wachaga tu

Huo utaratibu tu wa kutafuta kukusanyika kwa mzengwe ulioweka mtandaoni unanuka ukabila, na mpaka sasa ukabila ni hulka ya Wachaga, ushahidi ni wa kutosha na si kwa kuzushiana lawama kama unavyofanya wewe.
 
Sijakuelewa maana mi ni msukuma ila kwa sasa nipo arusha kikazi
 
karibu sana ngosha2011.........umekuja wakati mgumu sana....wengi wetu tupo kwenye luna de miel.....poyeeeeeee.........

Hata ningekuja mimi mngenitosa hivi. Niambieni angalau mngejaribu kukopa tafazali.
 
Last edited by a moderator:
Sijakuelewa maana mi ni msukuma ila kwa sasa nipo arusha kikazi

Basi pole kwa sababu umejiunga na makabila yanayopenda kujiita Elizabeth Michael ili wasijulikane kuwa wao ni Wapare. Watu hao wakitokea kwenye mtandao hujiita "Ngosha" ili watu wasikose imani nao. Anajua akijiita Malya watu wengine wote watamkimbia abaki na Wachaga wenzake tu.
 
Haaaaaaaa mi ngosha kabisa maana ni msukuma kabisa
 
Back
Top Bottom