Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 888
- Thread starter
- #21
Atanaye, sijakusahau! But you have expounded on what I had responded and I need to revise.
I agree that I was too sloppy in saying that what you wrote is 'vague' - poor choice of words!
Nadhani umejibu na hoja nzito maswali yangu lakini naomba nizungumzie suala moja la kodi!
Kodi inayolipwa na kampuni ni kubwa mno, maana kuna NSSF, income tax na madudu mengine mengi. Also overheads ni kubwa sana kutokana na matatizo ya miundombinu. Kwa mfano kampuni yangu unaweza kusema ni SME lakini wafanyakazi wangu wote nawalipia private health insurance kwa sababu nimegundua in fact I save money if they get quality health care kwani hawaugui ovyo, watoto wao wanapata matibabu mazuri kwa hiyo mamao hatoki all the time kumpeleka mtoto hospitali, but still ni gharama!
Lakini nashangaa SMEs hatuthaminiwi. Serikali inaangalia wawekezaji wakubwa tu! Wao pia ni muhimu sikatai but we need to give priority to SMEs na family businesses (that was the essence of Reaganomics BTW)

Hii ni kweli kwa baadhi ya makampuni tu, tena ni yale makubwa! Makampuni madogo na ya kati ambayo ndiyo yanayotoa ajira kwa wananchi hawapewi misamaha! I am speaking from experience!Na kuhusu makampuni nitafanya vinginevyo kwani sasa ndio waliosamehewa makodi haya na hakuna ajira kwa mtanzania!