Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,884
jamani kwanini hukuipata?
na hii nayo niambie sasa..
![]()
hii haina mashikor.......rudisher iley iley.........

Habari wanajamvi.
Ni hivi majuzi mke wangu mama Baraka nimemkuta anaongea kwenye simu na mzazi mwenzake baba Baraka, kinachonipa mashaka ni namna alivyokuwa anajibu kwa unyenyekevu wakati mwingine akijitetea kuwa hakumkatia simu bali lilikuwa ni tatizo la mtandao.
Hofu yangu ya kwamba huenda ninachapiwa ilikuja baada ya kumwuliza Ulikuwa unaongea na nani? hakutoa majibu ya kuridhisha, psychologically alichanganyikiwa.
Ukweli sina imani nae kabisa na wazo nililonalo nikumwacha, na iwapo nitamwacha atakuwa ni wa nne.
Nipeni ushauri.

Wivu wa nini ndugu yangu, unajuaje labda baba Baraka ndiye aliyembikiri? Nikuibie siri, piga ua galagaza mwanamke hamwachi aliyembikiri ng'o!

mbona watu mnatoka nje ya mada jamani?
mmeulizwa.. '' ungelikuwa ni wewe, unglifanyaje''?
mimi kwa kweli kwa upande wangu,.... ningewacharanga mapanga wote wawili!
Hii nayo kali kweli et..!! Mwanamke hamwachi aliyembikiri aaaa wapi imani tu!!!!!!!
kwl kabxa kulkon mwanaume unbkr af nkuache haitokei ng'oooooo,, ,
Punguza hasira umesema mapanga nimekumbuka mbaliiii!!!!!