Kama unatumia Simu aina hii inabidi ufanye update kwenda android version 15

Kama unatumia Simu aina hii inabidi ufanye update kwenda android version 15

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20250415_005302_0000.png



Baada kucheleweshwa kwa muda mrefu kuachiwa kwa update ya Android version 15 kwenye baadhi ya vifaa vya Samsung device hatimaye wametoa list la simu inabidi wafanye update kupata android Version 15 kwenye vifaa vyao.

2_20250415_005302_0001.png


3_20250415_005302_0002.png


Update hiyo mpya sio kwamba kutakua na mabadiliko Makubwa hapana ila sana sana kwenye Quick panel, muundo wake utakua mpya inakupa uwezo wa split notification na kuachia nafasi kubwa ya mtu kusoma taarifa mbalimbali kwa urahisi.

4_20250415_005302_0003.png


Multitasking Ui, wamefanyia maboresho ikiwa na blur effect, wakati feature ya Now bar na live notifications inakua na muundo pamoja na ufanyaji kazi kama kwenye iphone.

Watumiaji wa simu za Samsung zifuatazo inabidi ufanye update ya kifaa chako kupokea android version 15;
✓ Galaxy S24 series
✓ Galaxy Z fold 6
✓ Galaxy Z flip 6
✓ Galaxy S24 FE
✓ Galaxy S23 Series
✓ Galaxy Z fold 5 & X flip 5
✓ Galaxy S22 Series'

5_20250415_005302_0004.png


✓ Galaxy Z fold 4 & Z flip 4
✓ Galaxy S21 Series'
✓ Galaxy Z flip 3 & Z flop 3
✓ Galaxy Tab S10+ & Tabs S10 Ultra
✓ Galaxy Tab S9 FE
✓ Galaxy Tab S8 & S8+
✓ Galaxy Tab S6 & Tab S6 lite

Sio TU kwenye Vifaa vya S series pekee pia wametoa list ya Simu za A series zitakazo weza pokea update kama vile A16,
A53,A33,A25,A24,A15.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom