Nahitaji Vitz Old Model namba C au B (bajeti yangu milioni 3)

Nahitaji Vitz Old Model namba C au B (bajeti yangu milioni 3)

Dulla Tawakal

Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
86
Reaction score
106
Habari zenu wana Jamvi, natumaini muwazima?

Baada ya safari ndefu ya kumalizia ujenzi Alhamdulilah, nimeshahamia kwangu Kisemvule. Sasa nahitajia gari ndogo aina ya Vitz Old Model. Itapendeza sana ili niweze kufika kwenye shughul zangu za kutafuta ugali Msasani [emoji22].

Nimekuwa natumia gharama kubwa kwenye nauli kutoka Kisemvule hadi Msasani ninapofanyia kazi zangu. Hivyo nimeamua nitafute usafiri binafsi ili niweze kuyaepuka mateso ya kuamka saa 10 Alfajiri.

Mwenye atakuwa na hiyo gari anitafute kwa namba zangu 0656 647 813.
 
Habari zenu wana Jamvi, natumaini muwazima?

Baada ya safari ndefu ya kumalizia ujenzi Alhamdulilah, nimeshahamia kwangu Kisemvule. Sasa nahitajia gari ndogo aina ya Vitz Old Model. Itapendeza sana ili niweze kufika kwenye shughul zangu za kutafuta ugali Msasani [emoji22].

Nimekuwa natumia gharama kubwa kwenye nauli kutoka Kisemvule hadi Msasani ninapofanyia kazi zangu. Hivyo nimeamua nitafute usafiri binafsi ili niweze kuyaepuka mateso ya kuamka saa 10 Alfajiri.

Mwenye atakuwa na hiyo gari anitafute kwa namba zangu 0656 647 81
Budget nzuri ila dah ongeza iwe walau 3.5 na wajuba tuishi
 
Duh kisemvule hadi msasani daily? Na foleni zote za mjini unapumzika saa ngapi?
Kaka we acha thu ,,ndo utumwa ndugu Yangu ,,mwanzoni nilibaki kdg nikate tamaa ,,sema nikiangalia familia ndo Ikawa inanipa nguvu Ya kupambana ,,, Yan kiufup muda wa kupumzika ni mdogo sana ,,ila ndo hakuna jinsi kwako ni kwako
 
Mwamba umerudi? Karibu sana. Yani mjadala wa Masanja kugongewa na kuchapiwa hadi umefifia hujatia timu hata likes tu. MODS Mungu anawaona!

Ebu mfanyie wepesi huyo mchizi apate usafiri na hawaringie majirani zake anatembea huku amekaa
Mkuu ngoja tupambane naona wenye namba C wamekaza bei. Ila namtaftia gari leo hii anaweza kuilipia
 
Mwamba umerudi? Karibu sana. Yani mjadala wa Masanja kugongewa na kuchapiwa hadi umefifia hujatia timu hata likes tu. MODS Mungu anawaona!

Ebu mfanyie wepesi huyo mchizi apate usafiri na hawaringie majirani zake anatembea huku amekaa
Hahahaha kbs mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi hawajui kama namba E imekaribia EAZ?

Waambie waachilie gari hizo
Unajua nashangaa sana ,,Namba E inakimbia mbio za mwenge ,,lakin hawa Jamaa zetu wa namba B na C bado wamedinda kwenye bei eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom