La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 678
- 1,285
🤣🤣🤣🤣Hapo kwenye pombe una chokitafuta utakipata asante
Inategemea pia unafanya kazi ganiskip breakfast mchana kula kwa kiasi tena mchemsho mpaka kesho mchana tena
achana na sukari mafuta pombe na vyakula vya kukaanga
yote kwa yote fasting ndio mpango mzima
Sharubati😁Asubuhi kula vizuri
Mchana kula ushibe
Join matunda au shurubati asilia
bia tamHapo kwenye pombe una chokitafuta utakipata asante
Unawajua walevi wa JF🤣🤣🤣🤣
Juice kidhungu😀Sharubati😁
Si useme juice au ndio mhenga🏃♂️🏃♂️
Si ndio eboo🍻bia tam
Sawa mhengaJuice kidhungu😀
hakika ila hapo inawahusu sana sana wale wanaokaa maofisin hawashughulishi mwiliInategemea pia unafanya kazi gani
Sisi wachimba chumvi😢hakika ila hapo inawahusu sana sana wale wanaokaa maofisin hawashughulishi mwili
hakika!Si ndio eboo
waje tu watoe nyongo zaoUnawajua walevi wa Jf
ila nyeto jau sanaPia, mazoezi nimuhimu.
Zaidi ya yote kupiga nyeto ni muhimu sana sababu utakuwa unapunguza mafuta mwilini.
😀😀😀😀Sharubati😁
Si useme juice au ndio mhenga🏃♂️🏃♂️
Inasaidi kwa namna moja au nyingine.ila nyeto jau sana
khaaaaa umeanza vizuri chini umepuyangaPia, mazoezi nimuhimu.
Zaidi ya yote kupiga nyeto ni muhimu sana sababu utakuwa unapunguza mafuta mwilini.